Recent content by rufino

  1. R

    JamiiForums Tanzania Msaada BOQ Mnara wa Tank La Maji (Nalipia)

    Ni eye sore lakini kwa maji ya Dar haina mbadala wa kuaminika. Tank la chini au underground linahitaji pump. Pump itakupa pressure nzuri kuliko mnara lakini inaongeza another point of failure. Kama kuna hitilafu ya umeme au pump yenyewe umebaki na ndoo na maji ya kuchota.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ewe mtoto mwenye kiburi, ipo siku utatuonyesha ulikomficha Humphrey Polepole

    Umewahi kusikia Argentina: The "Dirty War" (1976–1983). I can assure you Dictator General Jorge Rafael Videla hakuwa Musilam. Inakadirwa watu zaidi ya 20,000 walipotezwa. Watu walikuwa wanawekwa kwenye helicopter na kutupwa Atlantic Ocean. Umewahi kusikia Chile: The Pinochet Regime (1973–1990)...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ewe mtoto mwenye kiburi, ipo siku utatuonyesha ulikomficha Humphrey Polepole

    Mobutu alikuwa dini gani?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ewe mtoto mwenye kiburi, ipo siku utatuonyesha ulikomficha Humphrey Polepole

    Mimi sidhani dini ina uhusioano na haya mambo. Mifano mikubwa ya mtoa mada imehusha dini zote. Power tends to corrupt, and absolute power corrupts absolutely. Haijali dini, rangi, kabila nk.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Balozi Possi: Mwandishi aliyepewa tuzo ya Makala ya Oktoba 29 ni ya kiharakati zaidi

    Ni kweli maana kwa wasio fahamu aliyetoa tuzo ni "National Association of Black Journalists". Moja ya malengo ya hiyo jumuhia ni kutetea uwakiklishi wa weusi katika tasnia hiyo. Lakini nadhani balozi hajajibu swali. Hii inatuweka wapi? Inawezekana kuna watu hata walikua hawajaiona hiyo video...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Uwekaji wa tank la maji

    Naona hukuwahi kupata jibu kuhusu pressure. Lakini kama ulifanikiwa kujenga bila shaka uligundua kuwa pressure kutoka kwenye tank juu ya mnara sio kubwa unless ujenge mnara mrefu sana kama 10m au zaidi.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Serikali haiwezi kujenga kila kitu, punguzeni kuzaliana, tumieni uzazi wa mpango

    Soma kuhusu "Demographic Transition Model" Utafiti unaonyesha kwamba kulazimisha ukomo wa uzazi kwa familia maskini (kwa mfano, kupitia shinikizo, kulazimisha watu au sera za misaada zenye masharti makali) mara nyingi huleta matokeo yasiyotarajiwa. Kwa familia maskini watoto ni nguvu kazi...
  8. R

  9. R

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Serikali haiwezi kujenga kila kitu, punguzeni kuzaliana, tumieni uzazi wa mpango

    Populat Soma kuhusu "Demographic Transition Model" Utafiti unaonyesha kwamba kulazimisha ukomo wa uzazi kwa familia maskini (kwa mfano, kupitia shinikizo, kulazimisha watu au sera za misaada zenye masharti makali) mara nyingi huleta matokeo yasiyotarajiwa. Kwa familia maskini watoto ni nguvu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Msaada BOQ Mnara wa Tank La Maji (Nalipia)

    Ground floor plan ni 3m x 3m au 6m x 3m?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Maporomoko ya Ardhi Yaua Watu 107 CAMEROON. Ingekuwa ni Tanzania Ungeona CHADEMA Wanailaumu CCM na serikali yake Maana Akili za CHADEMA wanazijua Wao.

    Kwanza, sio kweli kwamba huo mkasa umetokea Cameroon. Umetokea Central African Republic (CAR) . Pili, si ajabu serikali kulaumiwa kwa majanga kama haya kwa sababu mara nyingi ni majanga yanayoweza au kukwepeka au kupunguza madhara yake kwa kuwa na mifumo ya uokoaji imara. Kwa taarifa huko...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Serikali haiwezi kujenga kila kitu, punguzeni kuzaliana, tumieni uzazi wa mpango

    Asitupangie uzazi. Huu ni mtego wa wazungu. Tusikubali kuingia. Wao kizazi kimepungua kiasi cha kutisha wameanza kuhofia tutawazidi idadi sasa wanataka nasi tuache kuzaa. Kumbuka huko nyuma sababu moja ya wao kuwa na nguvu za kututawala ni wao kuwa wengi kuliko sisi. Tuzae tu. Karne zijazo ni...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania–Uganda MoU ya Tanga: Tusichanganye “energy hub” na “refinery imekubaliwa kujengwa”

    Hiyo share ya 8% ya TPDC ilikuwa imetangazwa mwanzoni wakati hii project likpopendekezwa na Museveni mwaka 2013. Ukiweza kusoma hiyo article utaona mchannaguo wa shares zilizokuwa zinapendekezwa.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Hivi "MV Mwanza Hapa Kazi Tu" ndio rasmi imekuwa "white elephant"?

    Hii insaikitisha. Tulikuwa na matumaini makubwa na hii meli. Sasa ime dock Mwanza; haina mahali pa kwenda. Mara ya mwisho nilisikia wansubiri Jinja au Port Bell ziwe tayari lakini sina imani kama hizi ports ni suluhisho. Hii meli imejengwa kwa ajiri ya abiria kwanza. Mzigo ni ziada. Lakini...
  15. R

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

    Rudisha logo ya zamani. It was more elegant.
Back
Top Bottom