Wapendwa habari?
Jamani wadada acheni tabia ya kuharibu ndoa za watu kwenye ushirikina acheni tamaa za kijinga mnatesa familia za watu mkishaona mwanaume ana uwezo akikutongoza tu tayari mke wake na watoto waandike maumivu hii tabia ni mbaya isitoshe kila mtu ana mume wake aliyeandikiwa na...
Wanawake wengi washirikina kutokana na njaa lakini wa kigoma wamepitiliza hawa wanaharibu kabisa hadi familia ya mtu wanaisambaratisha kwa uchawi na hata ukichunguza kwenye jamii utagundua wanawake wengi wa kigoma wanakufa kwa kuchukua waume za watu
Hamna lolote wanawake wa kigoma ni wachawi na ukigusa mwanamke wa kigoma kama una familia alafu una nafuu ya maisha ujijue familia yako itaangamia na kusahaulika kabisa na huyo mke Utama cha. Atakupumbaza akili kukusahaulisha familia yako na kukuchanganya wewe utaona mapenzi ndio haya mambo...
Yaani mama mkwe na mawifi unatakiwa ukae nao mbali waizoee life style yako ukijipendekeza ipo siku utalia hawa watu hawana fomula hasa ukute hawajaenda shule
Mwanamke anafanya kazi na kipato chote anachokipata wanashirikiana na mumewe katika kuendesha familia. Je ni halali kuacha kuchangia chochote kwenye familia pale anapogundua kuwa mumewe ana mahusiano mengine nje (michepuko)?
Ni sahihi pete ya ndoa kuvaliwa na mwanandoa mmoja? Je pale unapoona mwenzio havai au anaivua katika mazingira ya kutatanisha nini suluhisho? Michango tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.