Recent content by Rubesha Kipesha

  1. R

    Lecturers UDSM acheni kutumia wanafunzi kusahihisha mitihani ya wenzao

    Mleta mada unaonekana unachuki binafsi inayokusuma kujaribu kututazamisha kuwa UDSM hawapo makini katika mitihani. Nimesoma pale undergraduate na post graduate, suala la mitihani linachukuliwa kwa umakini mkubwa. Eti mitihani inasahihishwa vyumbani na wanafunzi? Hiyo ni kejeli! Halafu kama...
  2. R

    Hii sijawahi kukutana nayo - msaada jamani

    Nadhani huna ujuzi wala maadili katika fani husika. Hivi madaktari wangekuwa wanaleta siri za wagonjwa wao huku JF ingekuwaje? Tena ummeleza wazi kuwa mgonjwa aliongea nawe kwa faragha! Lool!
  3. R

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Nakubaliana na mleta mada. Nami hilo nimeshanipata sana, na wala situmii mtandao kwa simu hiyo. Kwa kero hiyo nimehamia......
  4. R

    Msaada:TAA YA ENGINE KTK DASHBOARD IMEWAKA!

    Mkuu yawezekana ingine oil imepungua. je ulicheck kabla ya safari? Kama sivyo check, kama ipo sawa then hapo laweza kuwa tatizo la kiufundi zaidi.
  5. R

    Kijana wangu wamempatia note bandia jumla 450,000/= , mpesa

    Pole mamii, kila biashara ina changamoto zake!
  6. R

    Msaada Research Proposal title undergraduate...

    Tunaelekea pabaya sasa kama wasomi wanakuja kuomba title za research jamvini! Lol hicho Chuo hakina library? Inathibiti kuwa mleta mada hana urafiki na library kabisaaaa! Hiyo inatia mashaka sana msomi ndio atakuwa huyu kweli? Tena mwalimu mmmmh! Ndio maana ubora wa elimu yetu unashuka!
  7. R

    Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

    Kwa suala kama hili kawaone wataalam wa afya utaelezwa njia mbalimbali na watakushauri njia nzuri kwako.
  8. R

    Napenda mafuta ya alizeti lakini

    yatakuwa yame expire!
  9. R

    Napenda mafuta ya alizeti lakini

    Yatakuwa yame expire lol!. Natumia hayo hayo wala sikupata tatizo hilo.
  10. R

    Namuonea huruma cousin mwanamume wake kampa zawadi ya kitenge

    Lol Hapo hakuna penzi ni kuchuna tu! Ulitegemea apewe nini? Mhh then unawaeleza wanajamvi jinsi ulivyosikitika!
  11. R

    Thank god!!

    Mhh Yaani umeona hiyo ni issue hasa ya kupost jamvini? Nina mashaka sana na uwezo wako wa kufikiri. Kwa style hiyo hata library hujafikiria kwenda, na wewe unajiita msomi uko Chuo. Usituharibie jukwaa- Rubbish!!!!!!
  12. R

    Hivi ukifanya mapenzi mfululizo unapata madhara gani kiafya?

    Mada nyingine! Unaomba uambiwe madhara yatakayo kupata wewe, na siyo madhara kwa hao ma girl friend. Unaonekana mbinafsi! Mada inaonekana kama ya kutunga. Pia unajiamiiiiiini sana eti mmepima. Jiulize mpo wangapi Kwenye hiyo network?. Lol kumbe elimu khs UKIMWI bado haijatosha!
  13. R

    Nimelipa kisasi kudadadeki

    Umelipiza kisasi au umejilipua mwenyewe??? Nenda kapime weye! Ujinga huu hauna mfano!
  14. R

    Yupi anayesema ukweli kati ya hawa watoto?

    Wote wanasema ukweli kulingana na walivyoelezwa na wazazi wao. Tukija kwenye hoja, ile ya mtoto wa kike(toka kwa mama) ina mashiko imetumia lugha ya picha. Huo mgodi ukichimbwa patatoka watoto. Hivyo ajitunze. Hoja ya mtoto wa kiume (toka kwa baba)mmh naona itamchanganya boi atakua akijua fedha...
Back
Top Bottom