Wote wanasema ukweli kulingana na walivyoelezwa na wazazi wao.
Tukija kwenye hoja, ile ya mtoto wa kike(toka kwa mama) ina mashiko imetumia lugha ya picha.
Huo mgodi ukichimbwa patatoka watoto. Hivyo ajitunze.
Hoja ya mtoto wa kiume (toka kwa baba)mmh naona itamchanganya boi atakua akijua fedha lazima
ziishie kwenye mgodi! Twajua maji yafuata mkondo, ataiga kwa baba. Lol mfano mbaya!!!