Habarini ndg wapendwa,
Kuna jambo linanitatiza kuhusu ajira za Tanzania, nashindwa kuelewa ni kwanini mashirika mengi hapa Tanzania yanapotangaza nafasi za ajiara hayaweki dhahiri/hadharani kiwango cha mshahara?
Utakuta wanaandika tu qualification za muombaji nanduties atazojiusisha nazo...
Habarini ndg walendwa..
Kuna jambo linanitatiza kuhusu ajira za Tanzania, nashindwa kuelewa ni kwanini mashirika mengi hapa Tanzania yanapotangaza nafasi za ajiara hayaweki dhahiri/hadharani kiwango cha mshahara???.
Utakuta wanaandika tu qualification za muombaji nanduties atazojiusisha nazo...
Samahani watanzania wenzangu, naomba ushrikiano na msaada wenu,
Naomba kwa yoyte anaezifaham shule za private za kidato cha 5&6 zenye ada nafuu zilizopo mkoani Mwanza au Kagera anisaidie kuzifahamu ata ikiwezekana mawasiliano nazo.
Nitashukuru sana kama tapata msaada wako.
Ahsante sana.
Msaada Kwa Yoyte Yule Anaezijua Kwa Undani Shule Za Private Zenye Ada Chin Ya Mil.1
Zilzopo Mwanza Ama Kagera Naomba Anitajie Na Kama Inawezkana Ata Mawasiliano Yao Niyapate..
Tashkuru Xana Kma Thread Hii Itajbiwa Kwa Ukarimu.
Ahsanteni
Mkuu Mbona Umehadithia Movie Tena Ninayo Hapa Home,inaitw Area51
Unaamini Vp Picha Za Kusadikika Je Ww Ushafka Area51 Na Kama Hujafka Umepajuaje???
HIYO NI MOVIE AMBAO HAMJAIONA MKAITAFTE INAITWA AREA-51
Kama Unazfaham Shule Binafsi Za A-level Zenye Ada Nafuu Nitajie Iwe Ya Bord Kwa Wavulana Au Day,Husasa Ni Zile Zilzopo Mkoan Mwanza...Naomben Msada Wenu
Nb:itakua Vyema Kama Utanitajia Na Ada Yao Ni Kias Gn?
Ahsanten Wakuu,naomben Ushrkiano Wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.