Recent content by Ruben Mandela

  1. Ruben Mandela

    kuunganisha smart phone yangu na tv

    Nadhani alitaka kuuliza aunhanishe vipi Simu yake na Tv
  2. Ruben Mandela

    Looking for gentleman

    Kazi unayo dada... Jipe moyo Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  3. Ruben Mandela

    Maagizo ya Serikali ya awamu ya 5 yaanza kupotoshwa

    Ndo hvo hakuna kusafiri kiholela, huku Ofsini kazi unamuachia nani? Au ndo ile kupiga kibunda afu unajifanya kusafiri Nje? Na huko Nje unafanya kwa Maslahi ya nani? Huoni kwamba huo mwanya waweza kutumika kumshawishi Mlipiwa na hatimaye kuingiza Taifa katika Mikataba mibovu inayowabeba...
  4. Ruben Mandela

    Polisi na NEC, itoe ufafanuzi wa haraka juu ya hofu ya 'kura feki' kila kona

    Kumbe wew pia Unaogopa kuhojiwa na vyombo vya habari kama Yule aliyewakimbia BBC?
  5. Ruben Mandela

    Magufuli ameanza kazi: Amtosa Chenge hadharani huko Mjini Bariadi

    Mbona hujaenda Mahakamani kumshtaki kama unamtuhumu kwa hayo? Mahakama si zipo kwa kazi hyo? Kwa hyo unalalamika hapa ili iweje sasa? Si alisema mwenyewe mwenye Ushahidi aende Mahakamani? Kama hukumskia ndo nshakwambia leo sasa asubuh wahi Kisutu pale kama upo Dar..
  6. Ruben Mandela

    Yanayojiri: Mkutano wa Lowassa - Igunga

    Ukawa mbele daima, mafuriko hayazuiliki kwa mikono tena....
  7. Ruben Mandela

    Kwa hali ilviyo, Magufuli bwaga manyanga tu

    Lowasa hazuiliki tena, mabadiliko ni lazima.
  8. Ruben Mandela

    Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Kampeni Arusha

    Nyomi wapi kaka angalia picha vizuri waliokaa mbele karibu na jukwaa ndo wenye Sare tu hao waliobakia kule nyuma ni watu baki waliotawala mambo yao stand na Sokoni pale, hawa wavaa Sare mama anatembea nao kwa Mabasi pia wanaandaliwa viti ili wachukue eneo kubwa sio ile style ya kusimama wima...
  9. Ruben Mandela

    Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Kampeni Arusha

    Mkuu afu ujue nlishangaa imekuaje hawakwenda kufanyia Mkutano pale Sheik Amri Abed uwanja wa mpira ule ambao wanaumiliki wao ccm, kwa kua walijua hawatapata Umati wakaamua kufwata watu kwenye lango la Soko (Kilombero) uwanja wa stand ya daladala, pikipiki na Tax kisha kufunga mageti ya soko eti...
  10. Ruben Mandela

    Zaidi ya wagombea 30 ubunge wa CCM waliopitishwa kujiunga na UKAWA Jumamosi

    Lowassa kutokuvaa Gwanda wala sio tatizo, yule anagombea kuwakikisha Vyama zaidi ya vitatu sasa kuna sababu gani ya kuvaa Vazi la Chama kimoja? Hata hvyo ni Mkakati tu wa kupata kura nyingi hata za Waliopo ccm.....
Back
Top Bottom