Usishangae hata wwwe ukatiwa mbaroni kwa kosa ka madawa ya kulevya. Ona anchokishuhudia wazir wa katiba na sheria dr Mwakyembe kuhusu kijana aliehukumiwa kwa kes tofaut na yeye akishuhudia akibadilishiwa wizara juu kwa ju.
Jamani habarini. Huu mjadala nimeupenda sana unaonekana kua mzur sana kwangu naomba uendelee haswa kwa kujibiwa ni mwez gani ambao nikivuna nakuta gunia liko juu?
Inashangaza sana tena inasikitisha mmno kunabaadhi ya watu wanasema ati yule hakua mwanafunzi ni mtutuu amevalia uniform kusudi awawin wanafunzi kimapenzi hatakama sio mwanafunzi sini police case hiyo? Kwanini wasingempeleka police kwa uchunguzi zaidi? Kama sio mwanafunzi upelelezi wa...
kazi ya Mungu ni pale alipomuacha ayasikie keanza maumivu ya kujirusha kwake kabla ya kifo hivyo naimani maumivu yalimfanya ajuuuuute kujirusha na si ajabu alikua akisema sirudii tena ujinga wangu. Kwani wanawake waliisha duniani angrenda hapo kwa kagame akajichagulia cha ukweli akaja...
Sio kweli labda uchunguzi wwenu mliufanya kwakuzingatia eneo moja tu. Pia jaribu kuulizia tofaut ya umri kati yamume na mke wa hao ulofanyia utafiti utagundua kua utofaut wa maiaka ndo unapelekea yule ambae ni mzee zaidi kwa uri anatangulia kufariki. Na ili uende sawa na mkeo lazima uoe ambae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.