Recent content by Rtbkazoba

  1. R

    JamiiForums Tanzania Makambako: Mwandishi wa Raia Mwema avamiwa na kukamatwa na Polisi nyumbani kwake saa 9 alfajiri. Polisi wakana kumkamata

    Nampongeza Mrs Emmanuel kwa juhudi alizofanya kuwasiliana na waandishi wa habari hata asiofahamiana nao. Mimi hatufahamiani, lakini alinipigia simu saa 9.05 usiku wa manane tarehe 22 Februari 2018, mara tu baada ya mumewe kubebwa na watu hao. Jitihada zake nadhani zimezaa matunda chanya. She has...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Aliye karibu na Mange Kimambi anisaidie kunifikishia Kwake huu ujumbe maridhawa

    Ushauri mzuri sana. kwa data anazokuwa nazo nguvu ya hoja inatosha. Kuna wakati anakuwa na data relevant, timely, credible and compelling kuliko hata makachero wetu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kuna Lawama kwa Rais, Kuna Lawama Rahisi, na Lawama Halisi

    . Mwanakijiji, leo umeandika kwa mafumbo. Funguka. Nyoosha sentensi hizi: "Sidhani kama tunaelewa uzito wa kuwabebesha lawama sahihi watu sahihi ili wawajibike au wawajibishwe kwa usahihi. Magufuli ana lawama zake, lakini kuna wanaobeba lawama zaidi." Fafanua haya: -Lawama sahihi ni zipi? -Watu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania DC wako anatekeleza majukumu yake ipasavyo?

    . Huo ndio ukweli. DC ni mkono wa RC
  5. R

    JamiiForums Tanzania DC wako anatekeleza majukumu yake ipasavyo?

    Baada ya kuona mambo kadhaa yanayotia mashaka nimejiuliza swali: Hivi Ma-DC wanatekeleza majukumu yao ipasavyo? Tusaidiane kuwapima kwa kutumia Hati ya Majukumu inayowahusu. Hii hapa..... ===========MAJUKUMU YA MKUU WA WILAYA================= (i) Kumweka mtu kizuizini kwa muda wa saa 48...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Assumpter N. Mshama

    . Pia sio "nshungu" bali "nshunju"
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Assumpter N. Mshama

    Acheni maneno yenu, huyu mama kaenda shule kweli. Kama mnabisha peruzi CV yake hapa chini.....
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya 'tendo la ndoa' na 'tendo la ngono'?

    . Hapana. Download kitabu nilicho-attach ujipige msasa All the best.
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya 'tendo la ndoa' na 'tendo la ngono'?

    . Msomaji mmoja amefupisha hiyo makala hiivi.... On Greta Christina’s “Are We Having Sex Now Or What?” No matter how many people are doing it (or aren’t doing it), why they’re doing it, who they’re doing it with, how many people they’re doing it with, and how they get off from it, sex is still...
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya 'tendo la ndoa' na 'tendo la ngono'?

    Je, uliwahi kujiuliza swali, "Kuna tofauti gani kati ya 'tendo la ndoa' na 'tendo la ngono'?" Kama bado anza kujiuliza sasa. Andika jawabu lako kwa sentensi moja. Halafu, soma makala ya Greta Christina, “Are we Having Sex Now or What?” iliyoambatanishwa hapa chini. Makala inayo maneno 2000 tu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkuu wa TBC, Dr Ayoub Ryoba aendeleza matusi kwa wakosoaji wake. Aivaa JamiiForums...

    . Baada ya hapo kukatokea nini?
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mtatiro: Hatua za Bunge, Lipumba na msimamo wangu! Na maajabu ya Bunge na serikali ya CCM

    . Uwe unabakiza maneno ya akiba.... Vinginevyo unafichua udhaifu wako. Hivi, kama vita ndio hii, ushindi uko upande gani? Asubuhi njema Julius.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Maswali 11 kwa Baba Askofu Dallu

    . Kwa ujumla, mfumo wa sheria una ngazi tano: Sheria asilia ya maadili Sheria za nchi/Bunge Matamko ya watawala. Hivyo basi, vipaumbele vya utii viko hivi: Sheria asilia ya maadili ina nguvu kuliko Sheria za nchi Sheria za nchi/Bunge zina nguvu kuliko Matamko ya watawala
  14. R

    JamiiForums Tanzania Maswali 11 kwa Baba Askofu Dallu

    . Huu ni mfano hai wa ujambazi wa kifalsafa kwa kutumia silaha ya "slippery slope fallacy"!
  15. R

    JamiiForums Tanzania 60-PLUS SOCIAL NETWORKING SITES IN 2017

    60-PLUS SOCIAL NETWORKING SITES IN 2017 Human nature by default has been programmed to be socially active to a certain extent. Some people are more active, while others are less so! However, people have always been looking for ways to connect and network with each other. And, in this age of...
Back
Top Bottom