Recent content by Rsm0087

  1. Rsm0087

    Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

    Ww ndio hujataka kuwaelewa ila kuna watu wanaamini kuwa Mungu ndio sisi ni kila chenye uhai ukiondoa umbonlake la mwili. Ondo hyo biashara ya mbinguni ni vitu vya kusadikika
  2. Rsm0087

    Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

    Hapa duniani hakuna ambe haamini kuwa Mungu yupo, utofauti unakuja ni kuwa Mungu yupo wap na anaishi wap, hapo ndio changamoto ipo
  3. Rsm0087

    Kuzaliwa Kwa Nabii Issa ( YESU)

    Hi Zo ni hadithi tu za kutungwa na wanadamu, ndio maana hata kule mnaposema alizaliwa hawamtambui , pia ikaanzishwa propaganda kuwa wao ni wakaidi. Hizi dini mipango ya mwanadamu tu hakuna Mungu anaweza kutuma kiumbe yeyote kwa ajili ya mwanadamu dhaifu kabisa. Yaani Mungu akae miaka kibao...
  4. Rsm0087

    Vijana wa siku hizi acheni mambo haya yanawamaliza

    Mwili usipoushughulisha lazima itakuramba sukari na pressure na hata figo hata kama haunywi energy na pombe. Ukiona ww ni mtu ambae kazi zako sio za kutoa jasho baada ya kutumia nguvu nyingi basi energy na pombe viepuke kabisa.
  5. Rsm0087

    Inawezekanaje mtu akampenda mchepuko sana kuliko mke wa ndoa?

    Ukiona hivyo ujue mke ndio tatizo, hivyo jamaa kapata alivyokuwa ananyimwa kwa makusudi na mke wake, ila kwa mchepuko anavipata sasa kwann asimpende?
  6. Rsm0087

    Salamu kwenu Atheist wa Jamii Forums

    Kwahyo hujui huo mwili wako ni hekalu la bwanaaa? Mungu ni nishati inayojidhihirisha kwenye maumbo mbali mbali ikiwemo ndani yako.
  7. Rsm0087

    Vijana wa siku hizi acheni mambo haya yanawamaliza

    Energy sio shida kwa mtu anaefanya kazi za nguvu acha kukariri, pia pombe ikikutawala ndio shida ilankama mtu anakunywa kiasi inashida gani? Sema kila mitu kiwe kwa kiasi kisizidi
  8. Rsm0087

    Salamu kwenu Atheist wa Jamii Forums

    Mungu ni roho ambayo ndio uhai uliopo kwenye kila kiumbe chenye uhai kama vile binadamu, wanyama, wadudu, miti, mimea n.k. watu hawamtaki Mungu hasa wa kwenye dini za kuletwa maana anasimuliwa kwa sifa za mwanadamu. Unapo sema Mungu kasema inamaana Mungu anaongea na ana mdomo.
  9. Rsm0087

    Uzi wa picha: Waarabu waking'oa viti Kwa Mkapa

    Viti vingi pale ni vibovu hata vilishatoka kwenye screw, hhungo'oi ni unachukua tu kama bakuli au sahani
  10. Rsm0087

    Msaada tutani: 2grfse (Crown Athlete), inalia knock kwa mbali sometime hailii kabisa na iko fresh, engine power haipungui.

    Ila kwa maelezo ya mtoa mada anasema kuwa akisafisha Spark Plug hiyo shida inapotea kwa muda
  11. Rsm0087

    Toyota Noah Si (new shape)

    Ni gari nzuri sana japo sio ngumu kama zile za zamani, ila ukitunza body ni gari nzuri sana ina injini ya 3zr ambayo unaipata hata kwenye toyota wish kuanzia 2007 hadi 2013 japo sio zote, ni economy sana kulinganisha na zile noah za nyuma yake pia ni CVT gearbox, kama unaitaka usiiache utakuja...
  12. Rsm0087

    Msaada tutani: 2grfse (Crown Athlete), inalia knock kwa mbali sometime hailii kabisa na iko fresh, engine power haipungui.

    Cha kwanza hapo nunua plug Og funga kwa hatua ya kwanza, maana kwa maelezo yako hapo hapo haihusiani na main na corn, maana main na corn ikilia hulia moja kwa moja
  13. Rsm0087

    Kabla na baada ya ndoa

    Yaan abadilike yy kana kwamba yy ndio kaolewa? Cha msingi hapo ni kupiga chini tu. Mm ni mhanga zaidi hata ya uliyosimulia, ni single mother wachache sana wenye shukuran. Mkuu furaha yako ni muhimu kuliko yake, ndio maana wanaume tunakufa mapema kwa kuvumilia watu wasio na mapenzi kwetu.
  14. Rsm0087

    Sababu ya Waziri Bashe kukataa msaada wa mchele wa Wamarekani: Je, ni uwepo wa virutubisho, kutokuwa na utapiamlo nchini au hatuna shida ya mchele?

    W nae avha mihemko ya kizuzu, unaongea mambo dhaifu sana, mzungu akuletee msaada wa lishe hali ya kuwa bado anakuita nyani? Sisi bado tupo nyuma masana, hatuwezi kubaini vitu vyenye madhara ya muda mrefu, hata huo mchele unamadhara ya muda mrefu ndio maana wamewalenga wanafunzi ili mika mitano...
Back
Top Bottom