Rsm0087
JF-Expert Member
- Jul 12, 2019
- 361
- 901
Ww ndio hujataka kuwaelewa ila kuna watu wanaamini kuwa Mungu ndio sisi ni kila chenye uhai ukiondoa umbonlake la mwili. Ondo hyo biashara ya mbinguni ni vitu vya kusadikikaWapo wasioamini. Wanajulikana kama "Atheists." Hata humu wamo, ndio hao wanaotaka uthibitisho. Ukienda Japan, China, North Korea, utawakuta Atheists wengi.