Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Twende taratibu kijana, sisi wote tumezaliwa na kukuta teyari kuna wenye kusema kwamba kuna Mungu na kuna wenye kusema kwamba Mungu hakuna. Sasa hebu wewe nieleze kipi kilichokufanya ukubaline na wenye kusema kwamba Mungu hakuna?
Wenye kusema waliridhishwa na wenye kusema hivyo hivyo tukaridhishana fictions tu. Zisizo na uthibitisho wowote ule.
 
Umeelewa kwanza kwamba kujua na kuthibitisha ni vitu tofauti?
Hili suala la "kujua na kuthibitisha" tulisha discuss sana.

Tatizo unataka ubishi usio na tija wala mantiki.

Ukisema Mungu yupo toa uthibitisho wa uwepo wake, kama huna uthibitisho, Ni kwamba Mungu hayupo.

As simple as that.

Sio kuanza kuzunguka zunguka.
 
Biblia inamuita Mtu asemaye hakuna Mungu ni MPUMBAVU
 
Biblia inamuita Mtu asemaye hakuna Mungu ni MPUMBAVU
Hata huyo Mungu wa Biblia ni MPUMBAVU vilevile kwa kuumba binadamu wasemao yeye hayupo. Ilhali alikuwa na uwezo wa kuumba binadamu wema tu watakao sema yeye yupo siku zote na wakati wote.
 
Kabla sijakupa ebu nielezee huo uthibitisho unaoutaka unafananaje?
Huo uthibitisho wewe si ndio unao na umetaka kunipa haya toa huo uthibitisho, mie sijautaka uthibitisho bali nilitaka kufahamu kwanza wewe umejuaje ila mwenyewe umetaka kutoa uthibitisho basi toa huo uthibitisho uliyonao.

Sasa ukiniuliza huo uthibitisho ninao utaka unafananaje inakuwa kama umenilisha maneno halafu unataka nitoe maelezo kutoka kwenye maneno uliyonilisha.
 
Sasa ntakupaje ikiwa hujanieleza ni huo uthibitisho unaoutaka unafananaje?

Umesahau tuliko toka kwenye hili swali?
 
Hili suala la "kujua na kuthibitisha" tulisha discuss sana.

Tatizo unataka ubishi usio na tija wala mantiki.

Ukisema Mungu yupo toa uthibitisho wa uwepo wake, kama huna uthibitisho, Ni kwamba Mungu hayupo.

As simple as that.

Sio kuanza kuzunguka zunguka.
Ndio maana nikakwambia hujui hata uthibitisho una kazi gani. Kwahiyo mimi kusema Mungu yupo halafu nikashindwa kuthibitisha ndio inakuwa uthibitisho kwako kuwa hakuna Mungu?
 
Sasa ntakupaje ikiwa hujanieleza ni huo uthibitisho unaoutaka unafananaje?

Umesahau tuliko toka kwenye hili swali?
Wewe ndio umesahau na umekuja na mfano ambao sio sahihi.

Tulipotoka ni kwamba nyinyi mmekuwa mkidai uthibitisho na kila watu wanapotoa uthibitisho mnaukataa na kusema hauthibitishi kuwepo Mungu, na ndio maana nikaja kuuliza kwani huo uthibitisho unatakiwa uweje au ufananaje?
 
Kwani mi sijakupa uthibitisho hapo wa nukuu za kitabu ambacho kimeandika hizo taarifa?

Kama unazidi kusisitiza kuwa sijakupa uthibitisho na wakati mimi nimekupa kupitia nukuu zile, huoni mantiki ya mimi kukuuliza ni aina gani ya uthibitisho unaoutaka?
 
Kuwa serious basi, sio wewe umetoka kusema huwezi kunipa huo uthibitisho hadi niwambia huo uthibitisho unafananaje?
 
Kuwa serious basi, sio wewe umetoka kusema huwezi kunipa huo uthibitisho hadi niwambia huo uthibitisho unafananaje?
Ni kwasababu ulionekana kutaka uthibitisho mwingine mbali na huo niliokupa.

Na ndio maana nikataka kwanza uniambie requirement za huo uthibitisho unaoutaka unafananaje ili nijue nakupa vipi huo uthibitisho.
 
Uthibitisho gani uliyonipa mkuu? Ujue tunazungumzia ni mfano tu hapa hebu kumbuka hilo.
 
Uthibitisho gani uliyonipa mkuu? Ujue tunazungumzia ni mfano tu hapa hebu kumbuka hilo.
Kwani nikuambie mara ngapi?

Isije ikawa una changamoto ya kujua uthibitisho na ndio maana nilipokupa ukashindwa kujua kuwa ule ni uthibitisho.

Narudia tena.

Uthibitisho wa uwepo wa teapot ni kupitia nukuu hizi hapa "katikati ya jua kuna chupa ya chai ya kimaajabu isiyoonekana inafanya rotation kulizunguka jua kila siku"
 
Usifosi ubishi unanichosha mkuu.
 
Wale wasioamini kwamba Mungu yupo, someni kwa makini sababu hizi 10 zinazothibitisha uwepo wa Mungu. Asiyeelewa lugha iliyotumika atumie google translator, itampa tafsiri ya Kiswahili:

1. Orderly Laws of Nature
Science reveals that the universe operates under unchanging natural laws, such as gravity, planetary motion, and the speed of light. This order suggests the presence of a supreme Designer(God) who established and sustains these principles.

Scientific Example: Einstein's equation, E=mc², demonstrates the precise balance between energy and matter, pointing to an intelligently structured universe.

2. Fine-tuning of the Universe
Fundamental constants like gravitational force, the mass of electrons, and the expansion rate of the universe are finely calibrated to support life. Such precision implies an intelligent Creator(God).

Scientific Example: The "Anthropic Principle" highlights that slight changes in these constants would make life impossible.

3. Origin of Life
Life depends on DNA, a highly complex system containing detailed genetic instructions. The existence of such intricate "code" raises the question of who or what authored it - God.

Scientific Example: DNA stores billions of instructions in a microscopic structure, functioning like sophisticated software.

4. Human Consciousness
Human abilities like reasoning, dreaming, and moral awareness transcend physical processes, suggesting a higher source of intellect and soul - God.

Scientific Example: Science has yet to explain how biological impulses alone could produce self-awareness.

5. Moral Laws
Universal moral values shared across cultures reflect an inherent sense of right and wrong, hinting at a moral Lawgiver(God).

Scientific Example: The consistency of moral principles across societies, regardless of cultural differences, supports the argument for a universal source.

6. Fossil Records
The fossil record shows a progression of life forms in a way that suggests a purposeful plan rather than random evolution.

Scientific Example: The absence of transitional "missing links" in the evolutionary chain supports the concept of creation.

7. Origin of the Universe
The Big Bang theory indicates that the universe had a beginning, prompting the question: What or who caused it? God. Scientific Example: The law of cause and effect states that everything with a beginning must have a cause.

8. Beauty and Order in Nature
The natural world displays remarkable beauty and order, from ecosystems to galaxies, suggesting intentional design. Who designed? God.

Scientific Example: Photosynthesis is a highly complex and efficient process vital for life, reflecting intelligent planning.

9. Complexity of the Human Brain
The human brain is one of the most intricate systems known, capable of reasoning, creativity, and problem-solving at an unparalleled level. Who created it? God.
Scientific Example: The brain’s trillions of neurons enable advanced functions such as learning and memory.

10. Personal Experiences
Millions of people testify to spiritual experiences that affirm the existence of God. I am one of them. While not strictly scientific, such testimonies are impactful due to their transformative effects on individuals. I was under the bondage of sin, but now I am set free!

Scientific Example: Studies on prayer and faith have shown positive effects on mental and physical health.

Kama kuna mtu bado tu anahitaji uthibitisho zaidi ya huo, asubiri siku ya hukumu ambapo kila goti litapigwa mbele za Mungu. Ila wakati huo itakuwa "too late" kuamini kwamba Mungu yupo.

Wasioamini watatupwa katika moto wa milele. Wanaoamini wataingia mbinguni katika raha ya milele.

Tusikubali shetani atupotoshe. Yeye anajua Mungu yupo na anajua mbingu ipo. Shetani ameishahukumiwa kwenda motoni ndio sababu anajaribu kutushawishi tusiamini ili tuangamie pamoja naye. Tumpinge kwa Jina la Yesu.
Hapa duniani hakuna ambe haamini kuwa Mungu yupo, utofauti unakuja ni kuwa Mungu yupo wap na anaishi wap, hapo ndio changamoto ipo
 
Hapa duniani hakuna ambe haamini kuwa Mungu yupo, utofauti unakuja ni kuwa Mungu yupo wap na anaishi wap, hapo ndio changamoto ipo
Wapo wasioamini. Wanajulikana kama "Atheists." Hata humu wamo, ndio hao wanaotaka uthibitisho. Ukienda Japan, China, North Korea, utawakuta Atheists wengi.
 
Back
Top Bottom