Recent content by RR

  1. R

    DOKEZO Responded Kuna Kampuni inakamata magari kwa uonevu kwa kisingizio cha kuegesha vibaya Ubungo

    Nilikutana na dereva wa pikipiki za gurudumu tatu 'bajaji', hawa wa mtandao, ameingia kituoni akawa anawasiliana na abiria, wakamkamata na kumtoza 80k! Unawauliza kuna mtu anapaki na kuacha gari bila kufunga? Au dereva akiwa ndani ya gari? Na hiyo kusema uwashe taa za tahadhari, huwa wanaweza...
  2. R

    DOKEZO Responded Kuna Kampuni inakamata magari kwa uonevu kwa kisingizio cha kuegesha vibaya Ubungo

    Binafsi yalinikuta haya, wiki mbili nyuma. Nilikua nanunua maji dukani kugeuka washafunga gari kwa nyororo! Ukifika kule ofisini kwao (Karibu na kituo cha polisi Mawasiliano) wanakuambia ukitaka kulipa kwa control number lazima uwe na nakala ya leseni na namba ya utambulisho wa mlipakodi...
  3. R

    JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    Kuna haja gani kushiriki uchafuzi huku ukibandikwa jina la uchaguzi?
  4. R

    Giza lipi umeliondoa Rais ikiwa wasiojulikana walimtia pingu mtu hadharani Kisha kumuua na kumtupa vichakani?

    Ni kama kulikua na ujumbe 'Tunaweza kukuua tutakavyo, na hamna wa kutufanya chochote!'
  5. R

    Giza lipi umeliondoa Rais ikiwa wasiojulikana walimtia pingu mtu hadharani Kisha kumuua na kumtupa vichakani?

    Nilisikitika sana Mhe. alipolinganisha kuuwawa kwa Kibao na vifo vingine. Kuchukuliwa hadharani na kwenda kuuliwa!
  6. R

    Najuta kununua 2009 Mitsubishi Pajero 3500Di-D: Auto

    Labda kuna mahali panavuja mafuta! Hata mabasi hayatumii lita 2 kwa kilomita 1!
  7. R

    DOKEZO Responded Mtoto adaiwa kulawitiwa na Mwalimu na kupewa biskuti na soda. Familia yaomba msaada

    Hujaelewa tu swali langu, inapaswa kuwa chochote kinachoathiri watoto kiwe wizara yake. Nimeuliza kama kuna sera inataka ukaguzi au uthibiti wa miundombinu ya shule na sehemu zinazokusanya watoto.
  8. R

    DOKEZO Responded Mtoto adaiwa kulawitiwa na Mwalimu na kupewa biskuti na soda. Familia yaomba msaada

    Mhe. Waziri nakusalimu. Pongezi kwako na wizara yako kwa kufuatilia mambo yanahusu wizara yako. Nina swali, hivi kama ilivyo miongozo ya usalama kwenye miundombinu ya umma na binafsi, kuna muongozo unahusu usalama wa watoto? Mfano kuna mipngozo ya OSHA na moto. Kwamba vitu kama mabweni na...
  9. R

    Ni movies zipi ambazo regardless na muda hauwezi kuja kuchoka kuziangalia?

    Italian Job Get the Gringo Apocalypto Menace II Society Sent using Jamii Forums mobile app
  10. R

    Kwa mshahara wa Tsh. 765,000/= nikizama benki naweza kopesheka kiasi gani?

    270k kwa mwezi? Unaweza kutufunza vionjo vya bajeti yako ya siku?
  11. R

    Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Kuna kijana nilikua namsaidia kujaza amepata mkopo cha chakula na malazi. Ada hajapata.
  12. R

    Siyo lazima kila alama ya mvuka kwa miguu (zebra) dereva wa gari asimame, Sheria ifumuliwe imepitwa na wakati

    RTA haisemi kwamba askari azuie gari kwa kosa la dereva (hapa sizungumzii kwamba gari ni bovu au limehusika katika ajali). Pengine wanatumia sheria nyingine au utashi wa askari husika, ila kumlazimisha dereva kutekeleza jambo fulani. Kuna mazingira hata dereva mwenyewe anaweza kuzuiliwa. Sent...
  13. R

    Siyo lazima kila alama ya mvuka kwa miguu (zebra) dereva wa gari asimame, Sheria ifumuliwe imepitwa na wakati

    Kuna kampeni ya kuweka taa kwenye maeneo ya shule, ila bado ni chache. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. R

    Je, ni sahihi mzazi kumuuzia mwanae kiwanja?

    Naomba maana ya jina lako. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom