Recent content by Rozaria mwandenga

  1. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kumfunga Sugu was a political mistake!

    Siku hz Sugu hana ushabiki kama miaka ya nyuma. Hata ubunge hatapata kwa taarifa yako
  2. R

    JamiiForums Tanzania Jana nimechepuka ili kumkomoa mwanaume niliyenaye

    Sio vizuri kuchepuka unamkosea muumba wako
  3. R

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu za kudhibiti na kusimamia hesabu za mgahawa wa chakula

    Lazima uwepo muda wote vinginevyo mshika mbili moja humponyoka.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sijasaini nyaraka yoyote TLS toka nipigwe risasi

    Kweli English yake kama sio msomi !
  5. R

    JamiiForums Tanzania Sheria ni Msumeno, aliechukua Video ya New Force akamatwe kwa kusambaza video kinyume cha sheria za mitandao

    Mwenye makosa pale ni was New force na roli ,wa Galax yupo sahihi upande wake. Kosa la roli ni mwendo mdogo nyolonyolo na akaacha nafasi kushoto. Sheria za Tz magari yaendeshwa kushoto.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananipiga vijembe sana WhatsApp status

    Mblock tu then unamwacha apost vyovyote,kama ana akili ataacha. Halafu nawewe uache kuanika matatizo yako mtandaoni. Mwone kwanza
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa aliyeniomba nimvishe pete

    Jianze upya huenda utampata wa kufanana naye
Back
Top Bottom