Mrejesho wa aliyeniomba nimvishe pete

Mrejesho wa aliyeniomba nimvishe pete

Habari za wakati huu bandugu!

Moja kwa moja kwenye mada, nilikuja na Uzi wa kuhusu Dada tuliekutana nae kwenye WhatsApp na tukaonana baadae kupendana,then baada ya mahaba kushmili akaniomba nimvishe Pete, ndipo nilikuja na Uzi kuomba mawazo kuhusu ombi la huyu Dada,

Hadi naandika Uzi huu,nimekuja kugundua kuwa mlinisaidia sana wana jf kwa ushauri wenu na tahadhari kubwa mlionipa baadhi yenu ilinifanya kukomaa sana kiakili na KUTOKUWA na haraka ili niendelee kumchunguza

Nashukuru pia kwa wale walio nihasa niendelee kuwa nae kama nampenda hii mayo ilinisaidia sana katika kuchunguza huyu mdada mrembo lakini sasa yafuatayo ndiyo haya

Ni muongo mkubwa, umri wake ni mkubwa, tabia yake ni ya command sana nimemhasa mara kadhaa anakubali kubadilika lakini kashindwa, nikapeleleza kule anakoishi mitaa fulani hapa jijini inaonekana alikuwa ana jamaa jamaa nae akashindwa tabia zake akamwacha yey akaenda kuishi kwa jamaa kwa lazima jamaaakamwachia nyumba na hili aliwahi kulisema mwenyewe japo alipindisha ukweli , ana shida ya kuolewa sana laikin tabia yake sio nzr

Nashauri kuwa wadada jamani sisi wanaume waoaji tupo sio kila MTU anataka kukuchezea lakini mwanaume makini lazima aangalie tabia kwanza japo kiduchu mwanamke aonyeshe kuwa anaweza kuendana maana kila binadamu anafanya makosa

Kilichokuwa naamini ninkuwa mwanamke anapatikana popote sasa naanza kuwa na mashaka

Nilimoempenda sana lakini nimemwambia kwa sasa tusitishe mahusiano kila mmoja aanze upya!
Mwanamke unaekutana nae Night Club, bar, msibani, kwny harusi au ndani ya geti Kali ni Yule Yule utakaekutana nae kanisani au msikitini!

Just be ware of of dog!
 
Kuchunguza muhimu, jamaa yangu kaoa mke alafu mke anamlazimisha jamaa asukume tope a.k.a apitie njia ya vumbi
 
Back
Top Bottom