Recent content by Royaltour

  1. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape akimkaribisha Maharage Chande Wizarani "Mshale Umerudi Nyumbani"

    Bahari imetulia ,Mungu ameamua ugomvi na kweli ikatulia na wanyumbani kusini na ugomvi ukaamuliwa. Mshale umerudi nyumbani na kweli umerudi na maharage.
  2. R

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL

    Jipu lingine la kulia timing ni hili lililosema leo mshale umerudi nyumbani. Ni kirusi kwa ustawi wa taifa.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kutundika daluga pombe

    Huwa wanaacha shule tu,pombe huwa ni kupumzika tu.
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Faza faza INSIDER MAN salaam faza
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Baa ya The Cask yafungwa kwa tuhuma za ukwepaji kodi

    Chadema wamemponza ndg Joe Makanyaga
  6. R

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia juu ya mwenendo, kiburi, dharau na majivuno ya Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchimbi

    "Kiburi kitakupaisha juu angani kama unyoya,na kitakushusha chini kama nazi".Komred Kheri Denis James Ni jambo la muda tu.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ni almasi ya Tanzania

    Ufukara ni mbaya sana,unasababisha vijana wanauza utu wao na wa Watanzania wengine kwa vipande viwili vitatu vinavyowasaidia kushinda mitandaoni tu na sio kujiimarisha kiuchumi. Hivi Mwigulu ana nini cha ziada hadi unamsifia kiasi hiki?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nigeria wanafanikiwa kwenye Kilimo kwa sababu huwa wanafanya maamuzi Magumu sana

    Alimwambia Mama January.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kama Yusuf Makamba aliongoza Dar es Salaam, Chalamila hawezi kushindwa

    Mama January......
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Rais Samia kamgusa Mzee Jakaya Kikwete?

    Kutafuta kura kwa kuvaa mamiwani na kubwabwaja?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Kilimo wa Waziri Bashe Dodoma ni Utapeli

    "BBT ilikua ni utapeli,yatafuna Bil 900",CAG-Mwananchi tarehe 10.04.2024
  12. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hatupendi kujifunza. Mitandao, na hasa YouTube ni darasa Tosha

    Kiukweli waziri aliye na dhamana ya Tech ni mzigo sijui walimtolea wapi? Na sijui huwa anawaza kwa kutumia nini?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nape, muda mwingi unaotumia kumsema vibaya Hayati Magufuli ungeutumia kupigania Tozo za Intaneti na Miamala

    Huyo mzee wake kwani alilifanyia nn hili taifa?kama hata kujenga makazi yake alishindwa
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nape, muda mwingi unaotumia kumsema vibaya Hayati Magufuli ungeutumia kupigania Tozo za Intaneti na Miamala

    Yy na yule bwana kipara huwa wanajiona hii nchi ni urithi kutoka kwa wazee wao wana haki muda wote kuiongoza,,tujipe muda
  15. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mawaziri wako ndio wanaokuzunguka

    Umemsahau msomali
Back
Top Bottom