Jimmywatanzania
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 514
- 275
Mh. Rais Samia, hakuna deal kubwa ambayo haimuhushishi waziri, kuendelea kuwaamini Mawaziri walewale ambao Wizara zao zimetajwa kwa CAG ni kuendelea kuwalea panya kwenye kabati la mkate.
Waziri anatumia muda mwingi kukupamba badala ya kutatua kero za raia. Mabango yametapakaa yakikuonesha umeondoa uhasama na kuleta maridhiano. Je, wewe Mh. Rais aliyependekeza hayo? Kama ni utashi wa Waziri, fedha ametoa wapi, kama ni wafadhili ni vyema tukawajua?
Mawaziri wako ndio wanaokuumiza, upole na udemokrasia wako wanachukulia udhaifu. Kuanza upya si vibaya futa wote uanze upya, taifa linakusubiri.