Recent content by Roxyanne

  1. Roxyanne

    Elia F Michael: CCM niacheni niendelee na udiwani wangu

    We badala uende kwenye ulaji endelea kubung'aa tu!kumbuka tu hakuna mkate mgum mbele ya chai[emoji4] Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Roxyanne

    Wizi wa mafuta kutoka magari ya kampuni ya China Civil Construction

    Wanaume wengi ni majizi na wapigaji,ona walivyomshambulia mtoa mada hahahah
  3. Roxyanne

    Yaliyojiri matokeo ya Mbunge jimbo la Buyungu na uchaguzi wa madiwani kata 36 Tanzania bara

    Hivi Upinzani ulitegemea utatoboa kwenye hizi chaguzi teh teh! Kazi wanayo mijitu gani mnaipigia kura baada ya wiki wanahamia sisiem! waendelee tu kulia lia maana hawana jipya zaidi ya kumwaga damu za watu.
  4. Roxyanne

    Abdul Nondo akamatwa kwa kutia mguu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Kufanya na kutokufanya kunategemea na maamuzi yake mie nimetoa maoni yangu si lazima afanye,alafu watu kama nyie ndo mnamtia upepo huyu dogo mkiambiwe mkaungane naye mnaanza kulia lia wanafiki wakubwa nyie,mwambie na ndugu yako basi afanye uharakati kama zama hizi kama waona ni salama mfyuu
  5. Roxyanne

    Abdul Nondo akamatwa kwa kutia mguu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Si kila kitu cha kuunga mkono,inatakiwa msome alama za nyakati si kila kipindi ni cha kushow uhanaharakati,mambo yamebadilika kabisa.
  6. Roxyanne

    Abdul Nondo akamatwa kwa kutia mguu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Ushasema nyerenye!na siku zote ushauri unapotelewa si lazima ufuate,akipenda afate asipopenda atajijua mwenyewe,mchumia janga hulia na wa kwao punguza kidomo domo kaka/dada haya ni maoni yangu。
  7. Roxyanne

    Abdul Nondo akamatwa kwa kutia mguu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Una uhakika una ubavu wa kupambana na jiwe?hee kunguru mjanja huepusha mbawa yake..
  8. Roxyanne

    CONFESSION: Mimi ni mvivu wa kuoga, huu mwezi wa 2 ila sinuki!

    We utakua unanuka uvundo aisee,alafu utakua si mzima ebu kaombewe una pepo la uchafu...mfyuu hadi nimepiga chafya
  9. Roxyanne

    Abdul Nondo akamatwa kwa kutia mguu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Huyu mtoto si awache kujihusisha na uharakati kabsa mpaka amalize hiyo shule yake? si ajabu kashawachokoza tena,ajue zama zimebadilika.
  10. Roxyanne

    JamiiForums - Maboresho ya mwaka 2018

    Maboresho mazuri,hongereni sana!
  11. Roxyanne

    Diamond: Ikitokea nimekufa kesho, nusu ya mali zangu apewe mama yangu mzazi

    Bora amejisemea mapema!viherehere vipungue lol.Nani kama mama?
  12. Roxyanne

    Mabilionea Rugemalira na Singasinga Harbinder!

    Kweli kabsa,maana haya mapito yanahitaji uwe na moyo wa kuyamudu.
  13. Roxyanne

    Mabilionea Rugemalira na Singasinga Harbinder!

    Kweli maisha ni kama gwaride!baba Eva anatia huruma sana[emoji22]
  14. Roxyanne

    JamiiForums: Tumerejea baada ya kutoweka hewani kwa wiki 3

    Hongereni sana kwa kupigania uhuru wa maoni yetu.
Back
Top Bottom