CONFESSION: Mimi ni mvivu wa kuoga, huu mwezi wa 2 ila sinuki!

Wakuu,

Naomba kufahamishwa madhara ya kutokuoga. Maana sasa naingia mwezi wa 2, huwa nanawa uso tuu. Mswaki wenyewe napiga nikiona meno yamebadilika rangi. Wakati mwingine nikilala nasema kesho kwakweli lazima nioge, nikiamka nikapigwa ka upeopo nahisi baridi, na kujisemea siwezi kujitesa na maji ya baridi wakati natakiwa niwahi ofisini.

Kuvaa navaa smart balaa, ni mwendo wa cardet au jinsi na koti...saluni naenda, na mambo mengine ni kama kawa. Sioni chochote kwenye ngozi, yaani niko frsh tu ila huwa nikijipikicha ngozi/kujisugua natoka ukurutu kwa mbali...huwa nafanya nikiwa peke yangu, then hapo ninajiapiza kuwa nikirudi home lazima nioge..

Lakini nikifika siogiiii. Niffanyeje jamani

NB: chupi na nguo huwa ni safi mda wote..pia sinuki mdomo, natumia mints kwa wingi
Hakika wewe ni Amphibia!
 
Wakuu,,

20180726_190521.png
 
Una ugomvi na maji mkuu,hata kutawaza hutawazi ,ngozi yako sidhani kama ina nuru au kuna spray wajipulizia halaf unajifuta
 
Sasa kama ni ke vipi Vaasa ya kumaliza menstrual inakuwaje!! Yaani kukutana na huyo hainatofauti na kukuta gari linavuta maji machafu du!!
 
Atakachohangaika nacho kwako wewe Dakitari wa Afya ya Akili ni
Kuchakata akihitaji kujua ni katika kundi gani hasa la Vichaa unakotakiwa uwekwe.

La kuwa unacho Kichaa viashiria vinajitosheleza.

Wakuu,

Naomba kufahamishwa madhara ya kutokuoga. Maana sasa naingia mwezi wa 2, huwa nanawa uso tuu. Mswaki wenyewe napiga nikiona meno yamebadilika rangi. Wakati mwingine nikilala nasema kesho kwakweli lazima nioge, nikiamka nikapigwa ka upeopo nahisi baridi, na kujisemea siwezi kujitesa na maji ya baridi wakati natakiwa niwahi ofisini.

Kuvaa navaa smart balaa, ni mwendo wa cardet au jinsi na koti...saluni naenda, na mambo mengine ni kama kawa. Sioni chochote kwenye ngozi, yaani niko frsh tu ila huwa nikijipikicha ngozi/kujisugua natoka ukurutu kwa mbali...huwa nafanya nikiwa peke yangu, then hapo ninajiapiza kuwa nikirudi home lazima nioge..

Lakini nikifika siogiiii. Niffanyeje jamani

NB: chupi na nguo huwa ni safi mda wote..pia sinuki mdomo, natumia mints kwa wingi
 
Vizuri sana
Itapendeza uache kutawaza baada ya kujisaidia na kuswaki mdomo.
 
Mkuu utakuwa unanuka ila wewe hujisikii tu sababu unakuwa umeizoea harufu yako... Chemsha maji ya moto uoge acha uvivu. Uchafu sio mzuri
 
Wakuu,

Naomba kufahamishwa madhara ya kutokuoga. Maana sasa naingia mwezi wa 2, huwa nanawa uso tuu. Mswaki wenyewe napiga nikiona meno yamebadilika rangi. Wakati mwingine nikilala nasema kesho kwakweli lazima nioge, nikiamka nikapigwa ka upeopo nahisi baridi, na kujisemea siwezi kujitesa na maji ya baridi wakati natakiwa niwahi ofisini.

Kuvaa navaa smart balaa, ni mwendo wa cardet au jinsi na koti...saluni naenda, na mambo mengine ni kama kawa. Sioni chochote kwenye ngozi, yaani niko frsh tu ila huwa nikijipikicha ngozi/kujisugua natoka ukurutu kwa mbali...huwa nafanya nikiwa peke yangu, then hapo ninajiapiza kuwa nikirudi home lazima nioge..

Lakini nikifika siogiiii. Niffanyeje jamani

NB: chupi na nguo huwa ni safi mda wote..pia sinuki mdomo, natumia mints kwa wingi
Lamba nyuma ya kiganja halafu nusa
 
Dikembe Mutombo miezi miwili bila kuoga ni michache sana kuna mzee alikaa miaka 20 bila kuoga wala kunyoa nywele.
 
Huwezi sikia harufu yako watu ndo wanasikia.Kama kidume si uache kuchamba pia tuone?Au hats kuchamba huchambi
 
We utakua unanuka uvundo aisee,alafu utakua si mzima ebu kaombewe una pepo la uchafu...mfyuu hadi nimepiga chafya
 
Back
Top Bottom