Mabilionea Rugemalira na Singasinga Harbinder!

Huwezi endelea kwa kuwa na chuki na matajiri,masikini atazidi kuwa masikini kwa kutegemea tajiri kushuka,awamu ya kwanza walikuwa na chuki na matajiri kwa vita feki vya wahujumu uchumi, wengi walinyanganywa mali zao walizopata kihalali kwa sababu ya chuki,alipooingia ruksa wale wale waliopokonywa Mali zao sababu wana akili ya kutafuta wakawa na kuzidi kuwa matajiri, walio wanyanganya wamekufa masikini,aliepewa kapewa utasubiri sana
 
Kwa nini unasema ni chuki? Kwa hawafikishwi Mahakani? Kwa nini hawashindi kesi kama hawana kosa na wanaonewa? Isitoshe Jela kwa maoni yako ni kwa ajili ya masikini tu?
 
Ukimuona tajiri jela jua kagombana na watawala, kwani wao ndo walienda kuzifata hela au walishirikiana na walio kwenye system MBONA kina makengeza,kiasi cha mboga wako nje? wako ndo walilamba
 
Hivi hii kesi hadi Leo haijaisha??!!!
Hivi kweli vyombo vyetu viko sirious na maslah ya taifa
 
Ukimuona tajiri jela jua kagombana na watawala, kwani wao ndo walienda kuzifata hela au walishirikiana na walio kwenye system MBONA kina makengeza,kiasi cha mboga wako nje? wako ndo walilamba

Sawa lkn hapa swali ni kwamba Je, hao Mabilionea wameonewa kwamba hawana kosa?
 
DhbdKo5WAAEVzit.jpg:large

Singa singa amepunguza uzito balaa!

IPTL1221.jpg
Yote hayo ni roho mbaya na visasi vya bwanamkubwa wanufafaika wa escrow wengi ni wana ccm na bado wako mtaani wanatesa. Wengine wamefungua madarakani kwa fedha za escrow
 
Yapo maswali yasiyo na majibu, hivi
1. Seth alipataje mabilion haya, alienda BOT kunyang'anya?
2. Kama Seth hakunyang'anya, alipewa, aliyempa ni nani na mbona hajakamatwa?
3. 306 bil ni pesa nyingi, je zinaweza zinaweza kutoka bila viongozi wa BOT na wizara kutojua?
4. Kuna watu walipewa mgawo wa escrow tena wengine kwenye sandarus, je watu hawa wako wapi?
 
Kwa nini Mahakama haiwaachii kama hawana kosa?
 
Yapo maswali yasiyo na majibu, hivi
1. Seth alipataje mabilion haya, alienda BOT kunyang'anya?
2. Kama Seth hakunyang'anya, alipewa, aliyempa ni nani na mbona hajakamatwa?
3. 306 bil ni pesa nyingi, je zinaweza zinaweza kutoka bila viongozi wa BOT na wizara kutojua?
4. Kuna watu walipewa mgawo wa escrow tena wengine kwenye sandarus, je watu hawa wako wapi?

Mimi siyo Mwanasheria lkn nafikiri anayeshikwa na ng'ombe ndiye aliyeiba, sasa wengi ni wapigaji lkn wengine ni wajanja wanakuwa wanaijua system kama akina Chenge hivyo hata akipiga kumshika ni ngumu sana, inatokea Dunia nzima ndo maana unaona financial crisis ya mwaka 2008 watu waliosababisha hakuna hata mmoja aliyekuwa Jela wala hata kushitakiwa tu ingawaje walisababisha hasara ya matrilioni kwenye financial system ya Dunia nzima.
 
mwanzo waliishi kama wafalme lakini sa hv wanaishi kama watumwa
kweli maisha yanabadilika ila acha waonje joto la jiwe walidhani watakua hivo milele
 
naona baba wa Heineken Kavaa kanzu,Kuna watu wamekula maisha hii nchi,
Ni baba wa Windhoek kama sikosei.....nilikua namtafuna Mkwe wake mmoja, alikuwa akinipatia vicarton kadhaa najipooza baada ya show kali
 
Ndio wao wanamiliki mabibo kiwanda ila pia wao ndo wenye hatimiliki ya kuingiza na kusambaza heineken nchini labda kama wawe wamenyanganywa hatimiliki au wameacha
 
Yapo maswali yasiyo na majibu, hivi
1. Seth alipataje mabilion haya, alienda BOT kunyang'anya?
2. Kama Seth hakunyang'anya, alipewa, aliyempa ni nani na mbona hajakamatwa?
3. 306 bil ni pesa nyingi, je zinaweza zinaweza kutoka bila viongozi wa BOT na wizara kutojua?
4. Kuna watu walipewa mgawo wa escrow tena wengine kwenye sandarus, je watu hawa wako wapi?
Ukifikiri kwa kina juu ya hii inaitwa vita ya kupambana na ufisadi unaona ni ulaghai na chuki binafsi tu dhidi ya matajiri
 
Back
Top Bottom