Recent content by roundabout

  1. R

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Mbona mimi nipo mwanza lakini ni nimekosa soko. Mtu anakuja shambani anataka anunue kwa sh 800 kwa tikiti moja wakati ni makubwa kuanzia kilo 5 mpaka 12.
  2. R

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Naomba mni add group la whatsup 0787547699
  3. R

    Mkopo wa nyumba

    Nimesikia tangazo la mkopo wa jijenge wa nyumba. Wanasema unaweza kukopa hadi 500m na unaweza kurejesha mkopo mpa miaka 20. Kama kuna mtu mwenye uelewa naomba anisaidie.
  4. R

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Natafuta soko la matikiti dar nimevuna mengi sana.
  5. R

    Soko la matikiti maji

    Soko la matikiti maji linapatikana wapi?
  6. R

    Hongera TRA kwa kuweka Kikokotozi ambacho ni user friendly

    Yep ilifutwa bunge la mwaka 2012. Imeachwa ya mashirika tu.
  7. R

    Lowassa: Masikini hafai kuingia Ikulu!

    Hivi kweli mtu atumie hela zake nyingi hivyo? Hatujiulizi? Ina maana hizi hela hana chafanyia?
  8. R

    Lowassa: Masikini hafai kuingia Ikulu!

    Unmjua kabisa paka wako ni mwizi halafu unamwachia nyama akulindie. Hebu Watanzania tuweni na akili.
  9. R

    Yahusu vibali vya uhamisho

    Hii ishu ya vibali ni shida kweli. Kuna mtu ameomba kibali alkambia kitoka baada ya siku 21 za kazi. Zimeisha ameenda haijafanyiwa kazi. Kasubiri wiki mbili zimepita hola. Kaenda tena ameambiwa after 2 weeks
  10. R

    Kwanini Wachungaji hawapendi kwenda kuwaona au kuwaombea wagonjwa Mahospitalini?

    Wanaenda sana tu na ndiyo maana karibia hosp kubwa unakuta makanisa.
  11. R

    Eneo linauzwa Kiseke B Mwanza (Ukubwa Ekari 1)

    Hi heka moja ni sawa na sqm ngapi
  12. R

    Eneo linauzwa Kiseke B Mwanza (Ukubwa Ekari 1)

    Ni karibu na barabara?
  13. R

    Ushauri: Nataka kujenga kwa mkopo wa Tsh 40,000,000/=

    Huo mkopo wa riba nafuu hivyo umeupata wapi? Fuata ushauri jenga fastaaa
Back
Top Bottom