Eneo linauzwa Kiseke B Mwanza (Ukubwa Ekari 1)

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Habari wadau kwa wale walioko maeneo ya Mwanza hasa wanaopafahamu KISEKE B wilaya ya Ilemela kuna eneo lenye ukubwa wa ekeri 1 halijapimwa lakini linauzwa, bei inaanzia milioni 25 maelewano yapo kwa anayehitaji baada ya kuliona. Piga namba hizi 0783250791 /0757849188.

Ahsanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom