Recent content by Rough player

  1. Rough player

    Hii ndiyo asili ya mtu mweusi kisayansi

    Mzee soma mada vizuri Hakuna sehemu niliyosema wazungu hawana melanin Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Rough player

    Hii ndiyo asili ya mtu mweusi kisayansi

    Mkuu si ndiyo maana nimesema kisayansi na sio kwa mlengo wa devine unaousemea Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Rough player

    Hii ndiyo asili ya mtu mweusi kisayansi

    Hiyo inatokana na kemikali ziitwazo melanin kama nilivyoeleza hapo kwenye mada pekee wenye kemikali hizo basi watakua na ngozi nyeusi pia kwa wale wasio kua na kemikali hizo kwenye ngozi zao pia huweza kuwa na rangi tofauti na nyeusi kwenye ngozi zao ukitoa sababu za kimazingira hasa watu...
  4. Rough player

    Hii ndiyo asili ya mtu mweusi kisayansi

    Salaam ndugu wa jf Natumai wote ni wazima huku tukiendeleza gurudumu la maisha mbele Bila kichelewa naomba niingie moja kwa moja kwenye mada husika kama kichwa cha habari kiilezavyo Hii ndiyo asili ya mtu mweusi kisayansi,,tafiti za kisayansi hasa katika masuala ya rangi katika race mbali mbali...
  5. Rough player

    Management ya Tigo iliangalie hili: Mnaboa sana

    Naunga mkono hoja Sio mtandao wa kitoto ila pia hawako accurate na huduma zao Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Rough player

    Nifanyeje ili niwe na uwezo mkubwa wa kufikiri?

    Be reasonable,, be accurate,,be wise and open minded,,observe every detail dont give hasty decisions,,use your common sense bro Dont be single sided thinker Then utayaona mabadiliko kwa muda mfupi sana baada ya kufuata hizo principles Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Rough player

    dah sijui na mimi nishapgwa??

    Ndiyo nimemtumia text nasubiri majibu kama alikua muaminifu anaweza kunijibu kama nk tapeli tu inakua ndiyo basi nishapewa hasara
  8. Rough player

    dah sijui na mimi nishapgwa??

    Mkuu unanisaidiaje kaka maana simu yenyewe hata mwezi haijamaliza
  9. Rough player

    dah sijui na mimi nishapgwa??

    As asante mkuu ndiyo nangojea wajuvi wanaweza nisaidia
  10. Rough player

    dah sijui na mimi nishapgwa??

    natumai wote ni wazima hapa jukwaani bila kuchelewa naomba niingie kwenye point hapo nyuma kwenye mwezi wa 10 nilinunua simu aina ya iphone 6plus kwa mshkaji katika process ya mauziano jamaa litoa icloud yake tu ila hakureset simu sasa baada ya kutumia huku nikiwa nimeshasign in kwa icloud...
  11. Rough player

    Wanawake na magroup ya WhatsApp

    Mama Sabrina haya maelezo ungeenda kutoa kwenye hayo magroup ya wasap nahisi ingesaidia kuliko
  12. Rough player

    Nini kilimuua Mehmed II aliyetaka kuufuta ukristo/dola ya kirumi ulaya ??

    Mama Sky Eclat nahisi hujanijibu kama ilivyotakiwa au inawezekana hujanielewa yani namaanisha walikombolewa kwa njia ipi?? Ndiyo kitu ninachotaka kujua
  13. Rough player

    Nini kilimuua Mehmed II aliyetaka kuufuta ukristo/dola ya kirumi ulaya ??

    Mama Sky Eclat unaweza kudadavua hao wahispania walikombolewa kivipi katika hiyo vita ya msalaba kwamba waliuawa au walipewa neno la kweli wakawa wakristo embu dadavua kidogo tupate maarifa
  14. Rough player

    Kwanini injili ya Barnabas iliteketezwa?

    gospel of barnaba iliteketezwa mkuu so nilikua na maswali mengi kwanini iteketezwe na karatasi mbili pekee ndizo zilizosalia moja kwa lugha ya kitaliano na moja ikiwa kwa lugha ya kispanish sasa mimi nashangaa baadhi ya watu wanakuja na misura kibao wakidai kua ndio injili ya barnaba wakati...
Back
Top Bottom