dah sijui na mimi nishapgwa??

dah sijui na mimi nishapgwa??

Rough player

Member
Joined
May 26, 2018
Posts
39
Reaction score
120
natumai wote ni wazima hapa jukwaani
bila kuchelewa naomba niingie kwenye point
hapo nyuma kwenye mwezi wa 10 nilinunua simu aina ya iphone 6plus kwa mshkaji katika process ya mauziano jamaa litoa icloud yake tu ila hakureset simu
sasa baada ya kutumia huku nikiwa nimeshasign in kwa icloud yangu ila tatizo lilikua nilipotaka kutumia baadhi ya app kama facetime ilikua inadai restriction code ambayo mimi siijui na wakati naichukua hiyo simu sikujua kama lingekua tatizo kwa kua jamaa alioshatoa icloud yake
sasa leo nimeona bora niireset ili nisione usumbufu wa kuona baadhi ya formation za mtumiaji aliyepita kama hiyo restriction code
sasa nikakonnect na itunes kama kawaida nikalog out account yangu ya icloud nikarestore simu kilichonikata maini ni kwamba baada ya kumaliza kurestore,,, account ya icloud iliyorud ni tofauti na yangu na sikutegemea irudi ikiwa linked na icloud hali ya kua mimi nilishalog out kwenye account yangu ambayo nilikua nimeilink sasa najiuliza iphone inaweza kua na access ya account 2 za icloud ndani ya simu 1
yani hapa nipo sielewi yani sijui nifanyeje nimemtumia text aliyeniuzia bado nasubiri majibu wakuu nilikua naomba msaada kama kuna njia nyingine ya kusolve hili tatizo
 
Hiii tatizo linatokea inabidi ukiuziwa simu urestore kabisa hapo hapo, sasa hapo mkuu umepatikana, na kuna simu icloud inatoka kimagumashi ukirestore tu ianrudi ishanitokea nikatoa icloud kwenye iphone 5s kwa njia za kiwizi wizi ila niliyemtolea aliporestore ikarudi
 
Mkuu unanisaidiaje kaka maana simu yenyewe hata mwezi haijamaliza
 
Pole sana ngoja wajuz waje, au rud kwa aliyekuuzia ,aweke hiyo previous icloud
Ndiyo nimemtumia text nasubiri majibu kama alikua muaminifu anaweza kunijibu kama nk tapeli tu inakua ndiyo basi nishapewa hasara
 
Hiii tatizo linatokea inabidi ukiuziwa simu urestore kabisa hapo hapo, sasa hapo mkuu umepatikana, na kuna simu icloud inatoka kimagumashi ukirestore tu ianrudi ishanitokea nikatoa icloud kwenye iphone 5s kwa njia za kiwizi wizi ila niliyemtolea aliporestore ikarudi
Duh hizi ifone majanga makubwa bora nibakie kweny android tu maana sio kwa shida hizo
 
Narudia tena.

Kitu pekee iphone zipo vizuri ni security na privacy. Hata kumess nazo hua sitamani jela nje nje.
 
Back
Top Bottom