Recent content by Rosweeter

  1. Rosweeter

    Haji Manara anashikiliwa na Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam

    Haya ndiyo yale matukio yanayotengenezwa. NO REFORMS NO ELECTION
  2. Rosweeter

    Nani yupo nyuma ya ubunifu na utekelezaji wa mikakati ya CHADEMA?

    He...! Mbona makasiriko.....?
  3. Rosweeter

    Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

    Nashon: Kwa hiyo ulienda hadi Morogoro kukutana na magaidi nakuwa Mobilise wafanye ugaidi? Shahidi: HAPANA SIYO MAGAIDI Mahakama: Kicheko HATIMAYE URIO KAKIRI MBOWE SI GAIDI
  4. Rosweeter

    Nashindwa kumsamehe Magufuli kwa hili

    Hajasema Magu ndiyo alimpiga risasi, amelaumu kutowajibika kama Rai's, sijui umeelewa...?
  5. Rosweeter

    Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania

    Kwa awamu hii hata akiwa Waziri Mkuu hakuna atakayeshangaa
  6. Rosweeter

    Wasomi tunamchukulia Musukuma kama Mchekeshaji wa ‘Stand Up Comedy’ ndani ya Bunge. Tunashauri aendelee kutuchekesha

    Kweli msukuma anazingua, lakini na wewe usomi wako utakuwa wa mashaka, hata kuandika hujui?
  7. Rosweeter

    Mbona Bunge limevurugika?

    NEVER AND NEVER AGAIN...!
  8. Rosweeter

    Baada ya miaka 6 ndio nimeanza kusikiliza hotuba ya Rais tena

    Hauko peke yako ndugu, ukisikiliza hotuba ya Mkuu wa Nchi unategemea kufarijika na kujenga matumaini mapya, lakini enzi za Kinjekitile ni kufokena na makasiriko tu, ya nini kujiongezea stress....
  9. Rosweeter

    Hili la vibali vya kazi Rais ashauriwe zaidi

    Nafikiri kuna jambo hukulikamata vizuri katika hotuba yake. Ameongelea ile namba ya wataalamu iliyoko kisheria anaokuja nayo mwekezaji, wakati wa ku-renew work permit kulikuwa na usumbufu mkumbwa. Hiyo ndiyo aliyoingelea,
  10. Rosweeter

    Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

    Ukisikia pimbi ni pimbi tu
  11. Rosweeter

    Mbunge Rweikiza apotelewa na simu mbili kwenye geti la bunge

    Ni simu lakini, hata ikiwa smart kitochi
  12. Rosweeter

    GE2020 Tafakari ya Kina: Tundu Lissu akifuta kodi ataendeshaje nchi?

    Ni wapi alisema atafuta kodi, toa ushahidi kwanza
Back
Top Bottom