Recent content by rosiita

  1. R

    Bishop Desmond Tutu aanzisha chama cha mashoga!

    HII KWELI INATISHA HATA KAMA SIO KWA KUSHIRIKI TU NAO WAJIONYESHA KUKUBALIANA NAO MUNGU TUNUSURU :smow:
  2. R

    Maajabu: Nchimbi agoma kumwekea ulinzi Mwakyembe, agoma kuzungumzia wauza unga

    Tunamuombea sana waziri wetu katika mapambano haya makali waombaji msiache mpaka muone kitu kimebadilika na kuondoa hii laana ya madawa haya katika nchi yetu na vitendo vya rushwa..big up Mwakyembe God be with you:)
  3. R

    Umeshawahi kutekwa? Ladies be very careful

    pole sana dada umetufundisha na wengine sala ni muhim and bible tusisahau kusoma
  4. R

    Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!

    tunatoa kizaz cha vijana waliochanganyikiwa na madawa nahamna hatua madhubut kama hamna viongoz sijui tunaenda wap watanzania?
  5. R

    Tanzania's Nando has been Disqualified from the Big Brother House

    inabid watu waangaliwe tabia na maadili .shindano hili halina maadili ya kitanzania:wave:
  6. R

    Petition: Wito wa kusitisha tozo/kodi ya laini ya simu kila mwezi kufuatia mabadiliko ya sheria

    sirikali haitafuti mianya ya wakwepa kod na kuwabana so called wawekezaji... kwahyo wananch wa kawaida tutabanwa had lini kuongezeka sawa ila si kwa kiwango kikubwa hvyo...isijefika wakat wananch wakachoka lets pray for ths country
  7. R

    Big Brother Africa 2009: The Revolution

    ni vizuri watu wawe na tabia nzuri bwana.mana pale jamii inaona,washiriki wakienda wanajisahau kama vile hawatatoka?maisha ya nje yako tofaut
  8. R

    18 Rules Between Men and Women

    those r the best rules in the world, if they r followed then this world will b a paradise...bot others??need special attention
  9. R

    Jumong...

    hellow?mi ndo nmejiunga na forum n i like this discussion. kwa kweli mi mwanzon sikuwa na mzuka na chumong ila mdogo wangu aliniambia ni nzuri yan nlivoifatilia nmeipenda sana, i cant miss it.Inafundisha a lot japo inatisha kidogo,uvimilivu,upendo,ujasiri.
Back
Top Bottom