Recent content by RoseOfGuadalupe

  1. R

    JamiiForums Tanzania Dada zangu, maisha baada ya kustaafu yatakuwaje?

    Asante kwa ushauri mzuri. Me nitaendelea kuzingatia hayo.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake mmekuwa maskini wa nywele sasa

    Haaahaaahaaaaaa. Hatari sana.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Faida za wenza kuomba pamoja

    Pole sana, Je huwezi wewe kwenda kuabudu anakoabudu mkeo? if No ambatana na mkeo msali pamoja. Mwanamke kufwata dini ya mme ni mtazamo tuu uliozoeleka. if Yes, endelea kumuomba Mungu ambadirishe.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Faida za wenza kuomba pamoja

    Endelea tuu kusali usisahau kumkumbuka kwenye sala zako, as she/he anasali for you, then you will be connected na kukutana mapema before you realize it.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    nice quotes, real I needed them. asante and be blessed.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    Nice advice. Asante as i learned too.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    Asante. nami nalichuka hili.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi tulivyompoteza dada yetu kwa UKIMWI

    Mungu awatie nguvu.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi tulivyompoteza dada yetu kwa UKIMWI

    Amina.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha, wanawake wanapenda mwanaume wa namna hii

    Type unayopendelea ndiyo imekufanya uwe na negative view ya wanawake. Wako wanao penda bila pesa and they are so many.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Nenda hospita utapata dawa usiona aibu. Acha kuvaa nguo za ndani za mtumba, hakikisha mda wote unakuwa mkavu sehemu za siri, matibabu ta fungus ni ya mda mrefu so ukipata dawa tumia kwa mda mrefu na anza kuvaa nguo za ndani mpya, usisahau kunshauri na mwenza wako the same.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za upotoshaji mikopo ya Elimu ya Juu ni Uzushi. Ipuuzwe.!

    Kuwammlikiki wa ofisi haimaanishi unazalisha sana. Unaweza zalisha hatakama umepanga ofisi.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wazazi na walezi mnayajua lakini wanayoyafanya watoto wenu?

    Malezi ya kimwendo kasi chochote mtoto anataka mzazi anatoa utadhani wakati wa utoto wake alifanyiwa hivyo na wazee wake. Pole yake.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Wazazi na walezi mnayajua lakini wanayoyafanya watoto wenu?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana siamini.
Back
Top Bottom