Kwa kweli hili neno hata Mimi limenishangaza sana. Huku kuchelewa ni Kwa kipimo Cha nani? Kuchelewa Kwa wao kwenda kwenye uchaguzi Kwa Katiba hii wanayoilalamikia kuwa ni ya kuibakiza CCM madarakani?
Ni kweli, yaani mtu anatoka mapovu Kwa opinion hana data, exposure Wala knowledge, yaani anaita a field institituonalize national program kuwa ni old school and outdated to be replaced by individual private owned activities that are primarily for profit making? Yaani ni shida sana
[11/20, 8:56 PM] Emmaus Mwamakula: MAWAKILI WOTE WALIOKUWA WAKIMTETEA WAKILI MWABUKUSI WAMEJIONDOA LEO!
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa mawakili waliokuwa wakimtetea Kajunjumele Boniface Mwabukusi wamejitoa leo kwa kile ambacho walikieleza kuwa hawakuridhika na mwenendo wa kesi dhidi ya...
Siamini unyonge walionao watu wa Bukoba, yaani hawana priority Wala pride tena, nitegemea kuona wakihamasishana kuondoa dhuluma ya utawala badala yake wako busy kujikomba? Hivi wenzetu walikuwa na uchaguzi 2020? Kumbe JPM hakukosea kuwatenda wanafiki hawa!
Pia ni upumbavu kuingia kwenye uchaguzi kutegemea kuachiwa viti, walau hicho kisingizio Cha kibali kitawasaidia kuonekana Wana akili. Kama bila Chopa hakuna mikutano, basi tena wamesha paki, wakubaliane na Hali Yao waanze kuyaona yaliyowazi
Wajadili kwanza kuhusu their relevance, je bado wao ni chama Cha siasa? Wasindikiza uchaguzi, wanataka Katiba mpya, wanataka Katiba mpya, wanataka minimum reforms? It is confusing kwa wananchi maana ni kama ni chama Cha wanachama wa Chadema.
Kwa kweli haya majukwaa yanatuponya sana, Kuna wakati unaweza fikiri jambo kuwa ni mapepo Yako lakini ukija kwenye room unakuta kumbe hata wewe uko sahihi, asanteni Kwa kutuelimisha.
Naamini hata CCM wangefurahi kama nyimbo zao zingepigwa kwenye mikusanyiko hata nyumba Kwa nyumba maana ni kuhesimishwa kupata wasikilizaji bila kuwekeza. Kuna mambo yanafikirisha badala ya kushangaza, kama si taarifa hiyo kutolewa na Jeshi la Polisi, ningeweza kukataa kama zinaweza kuwa...
Hizo tetesi ni uzushi wako, mnaliharibu jukwaa Kwa uongo, Mbowe si amesema yeye ni ' I am Uncle Tom? Na kwamba bila chama chake hakuna Demokrasia? I don't think he needs mazungumzo ya siri na yeyote but CCM, tuheshimu maamuzi yake na chama chake
Hiyo nafasi ilififishwa na Kikwete alipokuwa blackmailed na wakona Salva Rweyemamu na Magufuli ndio akaja kuizika kabisa Kwa teuzi ya a junior TBC mkoa with very little if any exposure na mengineyo, utashangaa kujua kuwa Jana alitweet kumkaribisha Msemaji mpya kuwa huru kuwasiliana Kwa ushauri🥸...
Kaka yangu Mwakilima ni heri heshima Kuliko wizi na fedheha, unaondoka huku kukiwa na taarifa za Wizi wa Nissan Patrol.ya Tanapa mpya, aliyojimilikisha aliyewahi kuwa Waziri wa Maliasili na Mkwe wa Rais, mpaka Sasa serikali imeshindwa kutoa maelezo ni Kwa Nini gari ya mradi Imebadilishwa namba...
Ila swala la kujiendeleza linatupa shida sana watanzania wengi, watu hawaamini katika kujifunza wanapenda nje wengi wanarudi nyumbani kama walivyotoka na ndio maana wanahangaika kutafuta tana kazi Kwa kutegemea unaarufu wao badala ya ujuzi. Lakini pia tufahamu sio kila mtangazaji ni mwandishi...
Jamani, ni kweli huyu binti.ni Mwanasheria tena aliyeweza kupata GPA ya kutaka kimbakisha chuo na akakataa? Mwe? Kwani hizo degree una wasiwasi hatoshi?.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.