Recent content by ROSEMARY MALEKO

  1. R

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu juu ya wanawake wenye miguu miembamba

    Huo ni mtazamo wako.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    Hakuna shida mradi wanaelewana.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kurefusha kope

    Ina maana Mungu aliyekuumba alikosea?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Mama Joyce Mhaville

    Big up Joyce Mhavile.
  5. R

    JamiiForums Tanzania INAUMA SANA: Unayempenda kwa dhati kabsa, anapokuchukulia kama Rafiki yake wa kawaida

    Sema nae taratibu usiogope wala usikate tamaa, mshirikishe Mungu pia kwa maombi.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Mtetezi wangu yu Hai.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Apigwa risasi nje ya Kanisa Ubungo

    Binadamu tumekuwa wakali kuliko Simba, hatuna hofu ya Mungu.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    God is good all the Time
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Dar hii kuna watu bado wanatumia mkaa badala ya gesi kupikia?

    Mkaa ndio mpango mzima.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Hivi majiko ya mafuta ndivyo yalivyo au langu tu?

    Ukijua kutumia Jiko la Mafuta ya Taa wala hutapata shida, ukitaka Sufuria zisichafuke unatakiwa uwashe jiko likishawaka unachukua muda kama Dakika Mbili bila kubandika Sufuria, baada ya hapo ukibandika Sufuria yako haitachafuka kamwe.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Dar hii kuna watu bado wanatumia mkaa badala ya gesi kupikia?

    Huyu atakuwa yuko kibiashara zaidi, lakini mimi binafsi kuna baadhi ya vyakula nikitumia Mkaa nafurahi sana.
Back
Top Bottom