Recent content by roscoedash

  1. R

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz afunguka kuhusu tuzo za Killi Music Awards

    Diamond in next level ameacha kushindana na watoto hapa tz sasa anatoka kutangaza bendera ya nchi
  2. R

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz afunguka kuhusu tuzo za Killi Music Awards

    Kiba kumfananisha na diamond kwasasa hivi ni mkosa sana diamond yupo mbali sana bila hata ya tunzo za kili music, kaongea ukweli halisi sasa subirini huyo kiba muone kama hatamfikia management yake mbovu sio kama diamond ana management nzuri sana
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

    Mkuu huyo anakuchezea MPE likizo kama mwezi hivi hataona umuhimu wako anakupima na wewe kwa ustaharabu anakuchukulia poa
  4. R

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awasili kituo kikuu cha Mabasi Ubungo na kulakiwa kwa shangwe kubwa

    Bosco Saronga Mbowe ni nani kwenye hii nchi hata AZUNGUMZE?? Kama una point kaa kimya mbowe ni nani......
  5. R

    JamiiForums Tanzania Toyota Brevis zina nini cha ziada?

    Mark x kiboko inakula mafuta kidogo kuliko brevis
  6. R

    JamiiForums Tanzania Sheria Mpya ya Fao la kujitoa (Withdrawal benefits) ya 2015 kwenye mifuko ya jamii ni pigo

    Dunia nzima Tanzania peke take ndio kuna kitu kinaitwa withdrawal benefit Kazi ya mifuko ni kuhifadhi fedha na kukupatia endapo unashinda maalumu,pia inapofikia mda wa kustaafu unapewa fedha zako zote sio kila ukiacha mkata unatoa pesa zile sio bank
  7. R

    JamiiForums Tanzania IFM - Huu ni Uzembe

    Hakuna kitu kama hicho kuwasha computer maybe unambie walikuwa na karatasi wanacheat sio kuwasha Ni kawaida kwa wanafunzi kucheat kwa kuingia na karatasi Umetumwa una topic ya msingi rekebisha maneno yako ulete maana
  8. R

    JamiiForums Tanzania Dj AD Mafuvu aacha kazi EATV / EA Radio

    Azam TV kwa kujali hali ya wafanyakazi wake Presenters wengi ndio kimbilio lao kwasasa
Back
Top Bottom