Recent content by Ronn M

  1. Ronn M

    Tanzania kupeleka battalion moja Congo

    Tunashukuru kwa kutupa practical experience
  2. Ronn M

    Tanzania kupeleka battalion moja Congo

    Nashukuru ndugu
  3. Ronn M

    Namba ya Simu ya Zitto katika TAMKO kuhusu kesi ya Lwakatare

    Be straight, mwambie karibu ccm! Of course ndo hm anyway
  4. Ronn M

    Picha: Mabaki ya Ndege iliyomuua Bob Sambeke.

    Ah kandege kenyewe mbona kama bati za vox? Bora mi sina. Bob, upate stahiki yako huko uliko
  5. Ronn M

    Namba ya Simu ya Zitto katika TAMKO kuhusu kesi ya Lwakatare

    1.You do not have, at any rate, legal or moral standard of declaring someone is not guilty or is merely a victim and not an accused. At least you could have proceeded from presumption of innocence but not otherwise. 2.Inaonesha jinsi gani unahusika na mpango huu. Kama tamko linatoka ktk chama...
  6. Ronn M

    Picha: Mabaki ya Ndege iliyomuua Bob Sambeke.

    Ah kandege kenyewe mbona kama bati za vox? Bora mi sina. Bob, upate stahiki yako huko uliko
  7. Ronn M

    Namba ya Simu ya Zitto katika TAMKO kuhusu kesi ya Lwakatare

    Zitto, wakati mwingne unakuwa hueleweki kwa sababu kama hizi. Wewe kama Naibu Katibu Mkuu lipi lingekuwa rahisi na sawa kwako? Si kwamba ulipaswa haraka kuwasiliana na alotoa tamko ili arekebishe hapo kama kuna makosa? Unapohoji motive uelewekeje? Wewe ni wa kulia jf na tamko toka ndani ya chama...
  8. Ronn M

    Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

    Pathetic!
  9. Ronn M

    Ndege ya Marehemu Wakili Nyaga Mawalla yaanguka na kuharibika 'write-off'

    Although out of point, niseme tuu kwamba this is too low for our city in 50+yrs of independence. Poleni wafiwa
  10. Ronn M

    Hahahaha Leo Nimecheka Sana! Thot Sh'd Share It Wit U Guys..

    Sasa tujue wewe hapo kimekuchekesha nini?
  11. Ronn M

    Nahitaji gari

    Thats gr8! Mwanamke shughuli hasa ukiipatia. Hebu niambie Carina not more than 1500cc, Volkswagen golf na vits ipi bei nzuri (the minimal price at excellent condition)
  12. Ronn M

    Nahitaji gari

    Mpenzi, ndio ujasiriamali umeanza kimya kimya hata mmeo sijui?
  13. Ronn M

    Rebels M23 urge Tanzania to scrap sending UN troops to DRC

    Ingawa inawezakuwa vitisho vya kawaida kabisa, ni vyema Tanzania ikajitazama vyema katika maamuzi haya
  14. Ronn M

    Dr Slaa: Tupo Makini kuliko CCM, Usalama wa Taifa....

    Toka mkulu aingia na gia ya kuingiza watu wake mambo yameharibika! Vilaza kibao wamejazwa mle kwa vigezo vingine nje ya uwezo binafsi
  15. Ronn M

    Sakata la kutekwa, kuteswa Kibanda: Maggid Mjengwa ahojiwa na Polisi!

    Mpaka hii mambo iishe tutajua mengi!
Back
Top Bottom