Recent content by ronjoshi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Sababu ya wanaomiliki vi-"BABY WALKER" kudharauliwa

    Acha mawazo mgando wewe. Ishi uwezavyo usiishi watakavyo watu
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kuna 'vigari' mwanaume hutakiwi kuendesha by the way

    Hiyo sheria imetoka wapi. Usikute mleta uzi hata baiskeli huna..
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nimetandikwa kofi la uso

    Huna lolote dungadunga wewe asingekutandika hilo kofi si ndio ungenogewa. Heko kwa huyo dada
  4. R

    JamiiForums Tanzania You out smart the smartest.

    Hahahahaaaa
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini majambazi wanapenda sana kutumia Boxer BM 150..?!!

    Umetumwa kupiga promo au?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Sijawaona ditopile mzuzuri. Rip
  7. R

    JamiiForums Tanzania Fupi tamu jamani ... ila ndefu hakika inakera!

    Inategemea na tafsiri yako kijana sijaona cha ajabu hapo. Watu wa habari watusaidie. Lakini upande wangu matumizi ya lugha yamezingatiwa
  8. R

    JamiiForums Tanzania Pombe zinachafua sherehe hasa za Harusi!

    Kwa sisi wengine harusi ni kanisani ukumbini kushereheka. Hatufungi ndoa ukumbini.
  9. R

    JamiiForums Tanzania EXCLUSIVE: ALICHOKISEMA Tundu Lissu BAADA YA SPIKA Sitta KUMWOMBA raisi AONGEZE MUDA WA BUNGE

    Hueleweki rangi ndio nini maana nimejitahidi kuangalia muunganiko wa sentensi sijauelewa..
  10. R

    JamiiForums Tanzania Miaka zaidi ya 20 ya utafiti kuhusiana na Askofu Mkuu Zachary Kakobe

    sijaona maana halisi ya utafiti wa miaka ishirini uliyosema. Huu ni wasifu wake mfupi tena ambao haujautendea haki pia.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mbona ndugu zetu wakristo mna chuki sana na waarabu....?

    Ndugu umekurupuka uzi wako hauna utafiti wa kutosha, hauna tija wala mashiko kwa yoyote mwenye akili timamu. Jipange upya
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mafuta kwenye vituo

    Nenda kituo cha puma pale sinza kijiweni ukifika utakuta pump zao hazijarudishwa ndani ili kuiresert manaining'iniza na usipoangalia vizuri utapimiwa mafuta ya elfu kumi kama ulitaka ya elfu ishirini nenda hadi sasa hivi wanafanya hicho kitu mabosi wao sidhani kama wanajua. Wanakera sanaa.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mbeya Mjini: Kiboko ya Sugu 2015 ni Mbuzax

    Mnaanza kampeni kiaina huyo jamaa mwenyewe kwanza hatumjui na sio kweli tumemchoka sugu ni nyie na propaganda zenu baada ya kuona anaziba njia zenu za ufisadi mnataka mtuwekee mtu wenu labda mje baada ya miaka 10 ijayo
  14. R

    JamiiForums Tanzania Treni Yagonga Gari Makusudi

    Treni haigongI gari ni gari limegonga train hii ni sheria ya duniani kote, ndio maana lina njia yake peke yake.
Back
Top Bottom