Recent content by ronica schola

  1. ronica schola

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya tarehe 26.10.2015 yataandika

    ha ha haaaaa.. nimeipenda bureeeee
  2. ronica schola

    JamiiForums Tanzania Unaposema Lowassa mwizi, mwana CCM gani msafi ndani ya CCM?

    Bora jambazi aliekimbia ndani ya kundi la majambazi atasaidia kuwapata wengine kuliko kundi la majambazi!!!
  3. ronica schola

    JamiiForums Tanzania EX-BF ananitaka tena na wakati kaoa tayari, nifanyeje?

    Mchune...!!!
  4. ronica schola

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye Usaili, Sekretarieti ya Utumishi wa Umma: Agost 22, 2015

    kinapakana na uwanja wa taifa ukiwa inatoke UBUNGO au MWENGE au G/MBOTO panda magari ya mbagala shuka taifa then tembea na barabara iliyoko mkono wa kushoto just dakik chache tu unafikaaa
  5. ronica schola

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu ana matatitizo ya kizazi hawezi kuzaa, kumuacha namuonea huruma, nifanyeje?

    nendeni FOREPLAN CLINIC muonane na DR MWAKA ipo ILALA BUNGONI KATIKATI YA ILALA (BOMA/HOSPITAL) NA BUGURUNI MALAPA ni daktari mzuri sana wa magonjwa ya kina mama (uzazi) na kikubwa mumwamini MUNGU, hakuna mgumba wala tasa mbele zake!!!
  6. ronica schola

    JamiiForums Tanzania TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

    TBC ovyoooooo....
  7. ronica schola

    JamiiForums Tanzania Na mimi ni banker yamenikuta

    be careful....
  8. ronica schola

    JamiiForums Tanzania Kila mwanamke anayekuja kwangu hana kazi, kwanini?

    ukitaka mwenye kazi mtengeneze mwenyew sa unataka nani akutengenezeee?
Back
Top Bottom