Recent content by ronaldo habi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Trump nae ni mduanzi tu, kashindwa kukaza

    Kafanya ivyoo kuzisaidia kampuni za kimarekani kama apple....Microsoft computers...ambazo mauzo yake yangeshuka kutokan na mfumuko wa bei baada ya hizo tariffs
  2. R

    JamiiForums Tanzania Trump nae ni mduanzi tu, kashindwa kukaza

    Msichokijua trump mda wote alikua step mbele kuliko wote inaitwa mchezo wa chess....trump aliwekea nchi zote tariff akijua mazara yake kiuchumi.....na kweli uchumi ukashuka watu wakapata hasara sana.... lakjn ukiangalia iyo hasara ilikua kimkakati...ghafla akatoa tariff zote ikabaki china...
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati Arsenal na Man city zimecheza mechi 23 za ligi, Zote Zina penalties 2 tu, Simba mechi 16 penalties 8..Tafakarini

    Argentina alishinda kombe la dunia kwa penalty
  4. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    Mnapotezwa focus...lamsingi ni uteuzi wa Ridhiwani mengine ni mnapelekwa maboya tu
  5. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mashine ya kutengeneza chapati 300 kwa saa

    Acha kutapeli watu...mtahibiwa hela zenu zote
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Acheni wizi kwanin uandikie kwrny application ya tigo pesa...mukombe hela zote siyo
  7. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atua Afrika Kusini kushiriki uapisho wa Ramaphosa hapo kesho

    Ndege za magufuli walizokua wanazibezaa zinatia hasarq taifa
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mnaosema Gharama za Kujenga Uwanja wa Samia Suluhu Hassan Stadium-Arusha ni Kubwa ,Angalieni Gharama za Viwanja Kwenye Nchi Zingine za Afrika Hapa.

    Inategemea na upatikanaji wa material...je kama mim material nachukulia nchi kwangu from viwanda vyangu...nitakua sawa na yule aliyeamua kuimport?....alafu thamani inategemea pia na grade au quality ya materials utakazozitumia....shtuka bro....
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mnaosema Gharama za Kujenga Uwanja wa Samia Suluhu Hassan Stadium-Arusha ni Kubwa ,Angalieni Gharama za Viwanja Kwenye Nchi Zingine za Afrika Hapa.

    Same goes kiwanja kilipo jengwa tz kwa bei ndogo kinaweza kua na sawa ya gharama na kiwanja kilichojengwa kenya na hela kubwa...think
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mnaosema Gharama za Kujenga Uwanja wa Samia Suluhu Hassan Stadium-Arusha ni Kubwa ,Angalieni Gharama za Viwanja Kwenye Nchi Zingine za Afrika Hapa.

    Kiwanja kua na gharama kubwa kenya hakimaanisha ndo bora kuliko cha kilichopo tanzania....
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mnaosema Gharama za Kujenga Uwanja wa Samia Suluhu Hassan Stadium-Arusha ni Kubwa ,Angalieni Gharama za Viwanja Kwenye Nchi Zingine za Afrika Hapa.

    Kumbe hujui ata kama value ya dollar inavary kutoka nchi moja hadi nchi nyingine[emoji23][emoji23]...kua kwanza na akili ndo urud uku
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mnaosema Gharama za Kujenga Uwanja wa Samia Suluhu Hassan Stadium-Arusha ni Kubwa ,Angalieni Gharama za Viwanja Kwenye Nchi Zingine za Afrika Hapa.

    Utumii akili bro...wew unadhani anayenga nyumba marekani na anayejenga nyumba ile ile tanzania, watatumia gharama sawa?....kuna inshu za upatikanaji wa materials....usafilishajii...miundombinu....bado tofauti wa kiuchumiii...yan unatak ufananishe hela ya kenya na tz kwa thamanii...jinga kabisa
  13. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Mbarawa: Treni za SGR ni za mwendo wa kawaida (siyo mwendokasi)

    Mnatak kufananisha 180kmph ya ist na ya land cruiser mko seriois kwelii[emoji23][emoji23]...50km/h ya sgr inaweza zaidi kua kama 180 ya ist..kwasababu speed ya treni ni uniform...gari inabadilika badilika
Back
Top Bottom