Mnaosema Gharama za Kujenga Uwanja wa Samia Suluhu Hassan Stadium-Arusha ni Kubwa ,Angalieni Gharama za Viwanja Kwenye Nchi Zingine za Afrika Hapa.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,109
49,811

View: https://twitter.com/MsigwaGerson/status/1776649963608342614?t=Y2yLEpnC-hxC0Wn2ukTW_g&s=19

Mfano uwanja wa Talanta Nairobi Kenya unaojengwa Kwa Ajili ya Afcon kama wa Arusha unatarajia kugharimu Shilingi Bilioni 765 na una uwezo wa viti 60,000.

Yaani gharama yake ni mara 4 ya uwanja wa Tanzania lakini kwenye Ubora uwanja Wetu itakuwa mzuri Kupita vyote.

Nchi zingine ambazo ziliandaa AFCON zilitumia gharama kubwa sana kushinda sisi.
470287536.jpg

Hoja.: Kwa nini Watanzania Huwa qanajifanya kuwa wajuaji sana wakati hawajui? Yaani Nchi hii umbea na uzushi ni kama ndio jambo kuu la maisha,Kwa inakuwa hivyo?
Screenshot_20240323-072705.jpg

My Take
Kwa renders za uwanja wa Arusha na associated infrastructures na quality naona gharama ni ndogo maana viwanja vya size hiyo hiyo na hadhi hiyo vina gharama kubwa huko kwingineko kuliko kwetu.

Angalizo msije kujenga kitu tofauti na picha mlizotuonesha.

View: https://www.instagram.com/p/C5V5FO6tABm/?igsh=ZnRreDVmNWNrcGFk
 
Mfano uwanja wa Talanta Nairobi Kenya unaojengwa Kwa Ajili ya Afcon kama wa Arusha unatarajia kugharimu Shilingi Bilioni 765 na una uwezo wa viti 60,000.

Yaani gharama yake ni mara 4 ya uwanja wa Tanzania lakini kwenye Ubora uwanja Wetu itakuwa mzuri Kupita vyote.

Nchi zingine ambazo ziliandaa AFCON zilitumia gharama kubwa sana kushinda sisi.
View attachment 2942229

Hoja.: Kwa nini Watanzania Huwa qanajifanya kuwa wajuaji sana wakati hawajui? Yaani Nchi hii umbea na uzushi ni kama ndio jambo kuu la maisha,Kwa inakuwa hivyo?View attachment 2942230
Kweli gharama za mama Samia ni kubwa mnoo. Tumelinganisha na gharama za kwa Mkapa, hazioani kabisa.
 
Toa ujinga wako hapa,hadhi ya uwanja wa Arusha utalinganisha na Hilo kopo la Mkapa?

Mwisho Mkapa ulijengwa lini na Leo ni lini? Gharama za ujenzi wa viwanja wakati huo ni sawa na Sasa?
 
Always sisi watanzia ni keyboard worriors , wanafiki ,wajuajii hata huo huo uwanja wa mkapa ulivoanza kujengwa walipinga kua gharama kubwa na blah blah nyiiiingiii leo hii huo uwanja ni fahari ya kila mtanzania mpenda michezoo
 
Tuna raia mapunguani sana.Sijui tuna shida gani yaani mambo ya kijinga Huwa tunayapa mda mwingi sana huko vitu vya msingi hatufanyi tunaishia kulalamika na kulaumu Serikali.
 
Mfano uwanja wa Talanta Nairobi Kenya unaojengwa Kwa Ajili ya Afcon kama wa Arusha unatarajia kugharimu Shilingi Bilioni 765 na una uwezo wa viti 60,000.

Yaani gharama yake ni mara 4 ya uwanja wa Tanzania lakini kwenye Ubora uwanja Wetu itakuwa mzuri Kupita vyote.

Nchi zingine ambazo ziliandaa AFCON zilitumia gharama kubwa sana kushinda sisi.
View attachment 2942229

Hoja.: Kwa nini Watanzania Huwa qanajifanya kuwa wajuaji sana wakati hawajui? Yaani Nchi hii umbea na uzushi ni kama ndio jambo kuu la maisha,Kwa inakuwa hivyo?View attachment 2942230
Cameroon au Nairobi hao ni mabingwa wa ugisadi au Rwanda hivyo suyo mifano uakulinganisha nasisi
 
Mfano uwanja wa Talanta Nairobi Kenya unaojengwa Kwa Ajili ya Afcon kama wa Arusha unatarajia kugharimu Shilingi Bilioni 765 na una uwezo wa viti 60,000.

Yaani gharama yake ni mara 4 ya uwanja wa Tanzania lakini kwenye Ubora uwanja Wetu itakuwa mzuri Kupita vyote.

Nchi zingine ambazo ziliandaa AFCON zilitumia gharama kubwa sana kushinda sisi.
View attachment 2942229

Hoja.: Kwa nini Watanzania Huwa qanajifanya kuwa wajuaji sana wakati hawajui? Yaani Nchi hii umbea na uzushi ni kama ndio jambo kuu la maisha,Kwa inakuwa hivyo?View attachment 2942230
Utumii akili bro...wew unadhani anayenga nyumba marekani na anayejenga nyumba ile ile tanzania, watatumia gharama sawa?....kuna inshu za upatikanaji wa materials....usafilishajii...miundombinu....bado tofauti wa kiuchumiii...yan unatak ufananishe hela ya kenya na tz kwa thamanii...jinga kabisa
 
Wewe ni mpumbavu na kima kabisa,Kuna kiwanja kimewekwa mfano Nje ya Afrika? Upatikanaji wa materials umefanya nini? Tzn materials ni bei chee au? Huna akili
 
Same goes kiwanja kilipo jengwa tz kwa bei ndogo kinaweza kua na sawa ya gharama na kiwanja kilichojengwa kenya na hela kubwa...think
 
Kumbe hujui ata kama value ya dollar inavary kutoka nchi moja hadi nchi nyingine...kua kwanza na akili ndo urud uku
Hapo ndio patamu.Ikiwa Nchi zilizoyolewa mfano value ya hela Yao vs Dola Ina thamani kushinda value ya pesa ya Tzn vs Dola huoni Tanzania tulitakiwa kujenga Kwa bei kubwa karibu mara 2 kushinda wao? Badala yake wao gharama ni kubwa kushinda sisi?

Wewe ni mbumbumbu ukijafanya unajua kumbe hamna kitu 😆😆😆😆
 
Hapo ndio patamu.Ikiwa Nchi zilizoyolewa mfano value ya hela Yao vs Dola Ina thamani kushinda value ya pesa ya Tzn vs Dola huoni Tanzania tulitakiwa kujenga Kwa bei kubwa karibu mara 2 kushinda wao? Badala yake wao gharama ni kubwa kushinda sisi?

Wewe ni mbumbumbu ukijafanya unajua kumbe hamna kitu
Inategemea na upatikanaji wa material...je kama mim material nachukulia nchi kwangu from viwanda vyangu...nitakua sawa na yule aliyeamua kuimport?....alafu thamani inategemea pia na grade au quality ya materials utakazozitumia....shtuka bro....
 
Bei inazingatia vitu vingi
1. Eneo Uwanja unapojengwa (Ardhi), uwanja ukijengwa Abuja ambapo sq moja ni mwenye 2.8m huwezi kulinganisha na wakwetu ambapo ardhi ni karibia bure (piga hapo hela 15) tu kwa uchache
2. Vifaa vinavyotumika
Inategemea kama vifaa vyote vina agizwa nje au vingine vinapatikana ndani kwa bei ya kizalendo
Mfano sisi tuna Sement ambayo ni Ingredient kubwa
3. Ubora wa vifaa vinavyowekwa; Inategemea kma utachagua kutumia vifaa (viti nk) vya standani gani na kutoka Nchi gani (kiti kimoja ukinunua Ujerumani bei yake ni mar mbili na ukinunua kiti hichohicho china kwa sababu ya gharama za uzalishaji
4. Ukubwa wa kiwanja

Sasa huwezi kuangalia tu bei kama bei ya mazao, wakati kuna vitu vingi hapo vya kuangalia
Kwa hiyo uwanja wa Arusha una bei kubwa au?
 
Back
Top Bottom