Recent content by Rommy Ronny

  1. R

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Mwifwa!

    Happy Bday Kamanda... Mapambano bado yanaendelea
  2. R

    JamiiForums Tanzania Fr. Jordan: Kutoa maoni, kuandamana kwa amani si uhaini kisheria

    Mirandaoni ndio wapi na mie nimunehamie
  3. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkude: Hata Mussa alipomwambia Farao alionekana mchochezi, hivi mnafurahia watu kupotea na kufa?

    Hata Mussa alipomfata Farao na kutaka kuwato watu wake Utumwani alipingw sana na Farao hata akapigwa mapigo na Mungu hata alipowaachia hakuamini akawafuata nyuma. Kama sisi sio sauti ya Mungu basi anaye mungu wake anayemwamini yeye Hii statement ni.kubwa kupitiliza ukiitafakari ni.kubwa sanah...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Wilaya ya Tarime: Maisha Yangu yako hatarini

    Clip ngapi zimeweka wazi na matokeo yake nin mpaka leo mtake hiyo clip tena... Kumtaja tuuuh yatosha kuonesha kwamba anauhakika na anachokiongea... CHADEMA Nayo imelala sanah sasa mtu kama huyo kwanin asiende kuhamia ccm waprovide ulinzi kwa viongozi wao
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kutumia magari ya thamani kwenye harusi ni ujanja au ushamba?

    Daaaah always nasema u are so SMART mkuu ukicomment alys huwa yanifanya niwaze mtu wa aina gani..
  6. R

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

    We utakuwa mchaga aiseee.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Zoezi gani zuri kutengeneza shingo bila kwenda gym

    Hahahahahahhahahahaha... Hahahahahahhahahahaha.... Hahahahahahahahahahah.. Very Fun... Daaah sikutegemea kucheka hiv jion hii
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shukrani kwa kunichangia nauli ya kwenda Mbeya kumuona mzazi mwenzangu, amefariki dunia

    Pole sana mkuu
  9. R

    JamiiForums Tanzania Clouds 360: Hassan Ngoma asema baba yake aliyegundua Tanzanite alianza kuugua akisubiri kumuona RC Makonda

    Yaani alivyogundua Tanzanite alishindwa hata jihifadhia madonge kadhaa... Leo watu wangemtambua bila.nguvu.yoyote
  10. R

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ni mgonjwa anatibiwa India! Tumuombee

    [emoji16][emoji16][emoji16]mkuu wataka usikie nin!? Anyway speaker wetu anarecover vizur kabisa.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mnisamehe...

    [emoji16][emoji16][emoji16]
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mnisamehe...

    Nimelike huu uzi jamani MNISAMEHE
  13. R

    JamiiForums Tanzania Hospitali Ocean Road yajibu madai ya Mange Kimambi,yakiri mlundikano wa wagonjwa na ubovu wa mashine

    Alafu kuna boya utalisikia eti huyo kahaba ana nin... Mibongo shida sana huyu dada anafanya mengi sana mazuri... Ukitaka kujua we panda public transport alafu asubuh utaona watu wameingia insta wanachek huyu dada kasemaje.. She is the best
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wale mnaofurahia kuitwa "Bae"

    BAE ni abbreviation ya neno 'Before Anyone Else' Ukianza angalia maana ya kila neno kwa.nchi tofaut hiyo avatar yako utakuta Tusi nchi nyengine pia
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wakristo hamna budi kumshukuru Yuda Eskariot, bila yeye Ukiristo usingekuwepo.

    Umeelezea vizur sana mkuu ahsante umeondoa doubt yangu yote
Back
Top Bottom