Lukwafya bhagasi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 1,236
- 1,252
Mwifwa kumbe ulizaliwa leo
Ngoja tuendelee kusubir japo ni ngumu kuliko ngamia kupita kwa tundu la sindanohahaha kweli asee, atuwekee picha ya Mwifwa ndani ya baby diaper![]()

Hiki kimalkia ulichoandoka hapa ntakushtaki kwenye mahakama ya wahalifu wa kivita... maana umenifanya nimejing'ata ulimi.Happy womb escapeday chief Mwifwa.
Keep the good vibes always with you.
Kwani na wewe ni mwifwaWeka picha yako mkuu, ili tuongeze radha ya uzi![]()
![]()
![]()
hahaha


pole babu,Mnaandika kimeme utadhani mmemeza dikshenare bhana... dahhahahapole babu,
bibi Sky Eclat atakuja kukupa dawa upone, ila useme ss wajukuu tukupe uzoefu uzoee usijing'ate tena
pole sana
Tunataka ya leo mkuu..ili uzi uchangamkeMnataka picha yake ya utoto au sasa?
hahahaMnaandika kimeme utadhani mmemeza dikshenare bhana... dah