Recent content by Romanus js

  1. Romanus js

    JamiiForums Tanzania Wanajamii forums mnaringaa sana siku hizi mmeona nini??

    Pole sana mkuu Watu wana stress za maisha.
  2. Romanus js

    JamiiForums Tanzania Kwanini Messi anachukiwa sana, aliwakosea nini wanadamu? Je, chanzo ni kipaji chake au kuna jingine?

    nani aliekwanmbia anachukiwa?
  3. Romanus js

    JamiiForums Tanzania England vs Argentina 22:00 Unadhani nani atatoka na ushindi..?

    ENGLAND KICHWA
  4. Romanus js

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    🚨 @David_Ornstein via @TheAthleticFC podcast: Manchester United will attack the midfiled market again. There will be another midfield signing.
  5. Romanus js

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mbia (Investor) kwa Ajili ya Mradi wa Uzalishaji wa Vinywaji – Tayari kwa Hatua za Kisheria"

    Kuna angle haijamulikwa. Mungu akisaidia nitarudi kuwapa mrejesho Wacha nipambane mwenyewe🫡🙏🏻
  6. Romanus js

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mbia (Investor) kwa Ajili ya Mradi wa Uzalishaji wa Vinywaji – Tayari kwa Hatua za Kisheria"

    Asante mkuu, ndio maan sijataka kutoa codes kabisaa
  7. Romanus js

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mbia (Investor) kwa Ajili ya Mradi wa Uzalishaji wa Vinywaji – Tayari kwa Hatua za Kisheria"

    Unique, tz haipo, East africa haipo , Africa hamna.
  8. Romanus js

    JamiiForums Tanzania Timu nne bora duniani zatinga nusu fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza

    Agentina apigwe Nataman ingekuwa france vs england Spain vs agentina
  9. Romanus js

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mbia (Investor) kwa Ajili ya Mradi wa Uzalishaji wa Vinywaji – Tayari kwa Hatua za Kisheria"

    Viambata muhimu Technical Code Gharama (TZS) FS-01 45,000 FS-02 35,000 FP-GA 75,000 FP-VB 55,000 FP-WC 75,000 SP-01 25,000 TOTAL 310,000 Then bado sijajua gharama ya food chemist maan wanatofautiana, na eneo la kuzalishia sijaua nita chajia kiasi gani, ila...
  10. Romanus js

    JamiiForums Tanzania Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

    Heri unipeleke jela au nizalishe nilee bai langu.
  11. Romanus js

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mbia (Investor) kwa Ajili ya Mradi wa Uzalishaji wa Vinywaji – Tayari kwa Hatua za Kisheria"

    Mkuu hapa nataka nipate pesa ya kununulia viambata vyote vya muhimu , nitafute food chemist, anitengenenezee uwinano mzuri, nipeleke tbs, pia na sehem nzuri ya kutengeneza, Maana tbs walishanipa go ahead nipeleke Sample. Hapo ndio nakuna kichwa.
Back
Top Bottom