Recent content by Romana

  1. R

    JamiiForums Tanzania Msaada zilipo ofisi za RITA (Registration, Insolvency and Trusteenship Agency)

    Asante Mkuu, hope nikiulizia naweza kuziona, wana bango lolote au ni ndani ya jengo maarufu, nijuze tafadhali.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Msaada zilipo ofisi za RITA (Registration, Insolvency and Trusteenship Agency)

    Jamani naombeni mwenye kufahamu ofisi za RITA Dar es Salaam mahali zilipo anifahamishe, natanguliza shukrani.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Jamani mnalikumbuka hili!.

    Mmenikumbusha, kulikuwa na kipindi cha ngano za muziki; kama kweli vile ile stori yake!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Zawadi gani inamfaa huyu

    Nimechanganyikiwa na matokeo ya Form Six October, au hii ni thread ya April! Nipeni ufafanuzi.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Naskia BSS bila kura ingekuwa catastrophy!!

    You are not sure, haikuwahi hata siku moja kuonyeshwa idadi ya kura kwa BSS ya mwaka jana, tell us something else.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Linux anahitajika

    Mpigie jamaa mwenye no 0717222303, sio memba hivyo hataliona ili tangazo.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mpoki a.k.a Bepari la kihaya

    Jiulizeni kwanza kabla ya kumshambulia huyo jamaa, (in Muhaya) na inawezekana hakuna jina lolote kutoka kwenye ukoo wake linalotajwa na Mpoki, kinamwuma.
Back
Top Bottom