Recent content by rom10

  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mathematically, haiwezekani kwamba Magufuli ameshinda kwa kura bandia!

    Kuna mawakala wa CHADEMA niliwashuhudia wakihongwa na wakasaidia kuweka tiki kwa kura feki za CCM. Poor CHADEMA mawakala wanaoweka wananjaa ata wakipewa tu buku 10 wanasaliti chama
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mathematically, haiwezekani kwamba Magufuli ameshinda kwa kura bandia!

    Na hiki ndicho kilichofanyika, NEC wamelifanya hili kupitia wasimamizi
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Inaniuma sana. NEC wameninyima haki yangu ya kupiga kura

    Mkuu hii sikwa Zungu tu nadhani wameitumia Tz nzima,wanafunzi wadgo waliandaliwa kupiga kura
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

    Asantee mkuu imenisaidia hii
  5. R

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuzuia sauti ya UMMA kwa kuzima mitandao

    Wengine hata play store haifinguki jaman mmh
  6. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maumivu makali ya mguu na mkono upande wa kushoto

    Ni mda mrefu sasa lilianza kidogo kidogo kama miaka 7 nyuma kwa kuumwa magoti ,akaambiwaga ni barid abisi ila mwaka juz ndo akaanza kuumwa upande mmja tu kuanzia kwenye mguu mpaka begani na wakat mengine anasema inapanda mpaka kichwan
  7. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maumivu makali ya mguu na mkono upande wa kushoto

    Tiba za jadi miti shamba au ?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maumivu makali ya mguu na mkono upande wa kushoto

    Habari zenu wakuu, Dada yangu anasumbuliwa sana na maumivu makali sana ya mguu na mkono,wakati mwingine yanapelekea mguu au mkono kuwa na ganzi na mara nyingine kuvimba. Amejaribu kwenda hospital kadhaa ila anaonekana hana tatizo. Wakuu naombeni mnisaidie kama kuna hospital inayoweza msaidia au...
  9. R

    JamiiForums Tanzania HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    Asante sna mkuu
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa masomo ya Arts

    hahahaaa ndo mana wanafunzi wanafeli mana walim wanafundsha kwa uzoefu
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wazazi na walezi, tuanze kuzuia vifo vya wanaosubiri Matokeo ya Kidato cha Nne

    wanafunz wanatakiwa kujua kufeli sio mwisho wa maisha,ila ni changamoto tu hvyo wasikate tamaa wangalie walipojikwaa wafnye marekebisho wasonge mbele
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania na COMESA: Watanzania waishio Zambia hali ni mbaya, Serikali iingilie

    jamanii nawarudi tu home
  13. R

    JamiiForums Tanzania Hizo khanga zenu hizo!

    mambo ya pwaniiii
Back
Top Bottom