Hizo khanga zenu hizo!

Hizo khanga zenu hizo!

yaani thread nzuri lakini inakosa picha kuhanikiza michango ya manguli wa mambo ya kanga ....na mambo ya mwambao
 
Aiseee sasa tufanyaje? Kanga ya india safi sana nyepesiiiiiii ukitoa jasho kidogo meshikana na ngozi raha sana. Ukute mtoto ana buno anapita sasa kavalia kama kata k siyo elimradi tu akitembea mambo yatikisike walahi utapenda. Utatamani idondoke alafu ukute kavalia likaptula la jinsi humo ndani limepauka ha ha ha utanza si angevaa chupi tu.BASI SAWA tu

Hata mie mwenyewe nikimuona kavaa "likaptula la jinzi" lazima nimtoe nyota zote....agghhh...mbona ntamshusha sana P.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom