Habari zenu wakuu, Dada yangu anasumbuliwa sana na maumivu makali sana ya mguu na mkono,wakati mwingine yanapelekea mguu au mkono kuwa na ganzi na mara nyingine kuvimba. Amejaribu kwenda hospital kadhaa ila anaonekana hana tatizo. Wakuu naombeni mnisaidie kama kuna hospital inayoweza msaidia au tiba gan inaweza msaidia