Recent content by Rolshi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Dr. Tulia, amteua kuwa mbunge

    Mama huu mwaka ni wa kwako dhihirisha kwa Watanzania kuwa unaweza na uko makini
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mume wangu katembea na mke wa rafiki yake

    Nimefurahi sana Kwa ushauri wako mzuri my dear ni kweli kabisa unayoniambia hata mimi taa nyekundu imewaka kabisa nataka anieleze vizuri lakini yule mwanaume sio mjinga kabisa ameongea kwa uchungu sana kuelezea jinsi inavyomuuma mume wangu kuwa na mahusiano na mke wake . nimekuelewa sana na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mume wangu katembea na mke wa rafiki yake

    Not true najitambua sana tu
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mume wangu katembea na mke wa rafiki yake

    Siwezi kuliwa kabisa na huo mpango Sina na hata aliyenipigia simu anajua mie ni mwanamke wa aina gani am not that much cheap, haliwi mtu hapa my dear
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mume wangu katembea na mke wa rafiki yake

    Wakati mwingine najibu kulingana na swali nililoulizwa sasa mtu anauliza kama haifanyi kazi unategemea nijibu nini niko serious na issue ni ukweli mtupu kwa nini ni nidanganye ili kiweje?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mume wangu katembea na mke wa rafiki yake

    Tayari ni ku PM
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mume wangu katembea na mke wa rafiki yake

    Asante sana Kwa ushauri wako ubarikiwe sana sana ndugu yangu
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mume wangu katembea na mke wa rafiki yake

    Thanks
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mume wangu katembea na mke wa rafiki yake

    Kumbuka aliyenipigia simu ana hasira za kuchapiwa mke wake maana majibu yako naona no rahisi sana Kwa swali gumu lakini asante kwa mtazamo wako huo
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mume wangu katembea na mke wa rafiki yake

    Nashukuru
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mume wangu katembea na mke wa rafiki yake

    Sijajua kama inafanya kazi sijakutana nae
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mume wangu katembea na mke wa rafiki yake

    Ni kweli inawezekana siwezi kukataa
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mume wangu katembea na mke wa rafiki yake

    Habari wana Jf, Mume wangu anaishi nje ya nchi, leo nimepigiwa simu na rafiki wa mume wangu akilalamika kuwa mume wangu katembea na mke wake na kwa msisitizo ameniambia amewaconfront mume wangu na mke wake na wote wamesema kuwa walikuwa na mahusiano ila sasa wameacha. Ndugu zangu naomba ushauri...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mafao ya PSPF

    Naona kama kuna mambo mawili hapo unasema u nasubiri maamuzi ambayo unaweza kufukuzwa kazi sasa mambo ya vetting tena yanatoka wapi? Kuna post ya uongozi unaisubiri au?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mwitongo, kutangaza kuwania urais kwa Makongoro Nyerere

    Mmmmhhhhh
Back
Top Bottom