Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
Wadau naomba anayejua anijuze...ikiwa umefanya kazi serikalini kwa miaka sita na baadae ukaondolewa kwa sababu yoyote....Je pspf wanakupa mafao yako ulokwisha kusanya?
Mimi nilienda kusoma bila ruhusa...mwajiri kanifuta payroll....suala lipo utumishi makao makuu....sasa ikitokea utumishi wakaona nilikosea na wakaamua kunifukuza kazi...Je ni haki yangu kudai hayo mafao?