Recent content by Rolence

  1. Rolence

    Chemsha bongo

    Sungura kg3+paka kg7= kg 10 Mbwa kg 17+sungura kg3=kg20 Mbwa kg17+paka kg7=kg24 Sungura+paka+mbwa=? Kwahiyo 3+7+17= kg27
  2. Rolence

    Msaada: Huduma ya kuingiziwa mbegu za kiume (IUI) inapatikana wapi Tanzania na kwa gharama gani

    Usishangae wanao kuita pm kwa sababu Avatar yako ina tafsili tofaiti kwahiyo sikunyingine usludie ivyo
  3. Rolence

    Nauza na kufuga Mapaka karibuni...

    Duh :eek:
  4. Rolence

    Nauza na kufuga Mapaka karibuni...

    Usjar mbwa na paka ni wanyama rafiki sana kwa binadam japo hawana uwezo wa kuongea nsi, mkuu paka ukimtrain kwa adabu hawezi kuiba mnyama pole na msafi kwa ujumla ila nimkali endapo ukimpandusha asira Mimi ninao huu ni mwaka wa nne nawafuga kwaajili ya panya waaribifu ndani
  5. Rolence

    Nauza na kufuga Mapaka karibuni...

    Kivipi mkuu?
  6. Rolence

    Nauza na kufuga Mapaka karibuni...

    Nyau ni mlio/ sauti ya paka
  7. Rolence

    Ukweli kuhusu ARV.

    :D:D:D j
  8. Rolence

    Mwanangu wa miaka 9 amekutwa na Virusi vya UKIMWI, sijui amevitoa wapi?

    Nashukur sana nilimfanyia invyo sasa cd4 zimeongezeka sana mungu akubaliki
  9. Rolence

    Msaada: Mgonjwa wa cancer hali mbaya

    pole sana mungu atasaidia utapata mwongo humu uskate tamaa
  10. Rolence

    Utambue Ugonjwa wa Shinikizo kubwa la Nyenge Mwilini (High Nyenge Pressure)

    duh ili liko naturally mwilini limewekwa ili tuzaliane hata kwa wanyama
  11. Rolence

    Serikali kuanza kusambaza dawa ya kuzuia Virusi Vya Ukimwi (HIV) aina ya Truvada

    Nashukur baadhi ya ushauri wenu naufanyia kaz kwa ndugu yangy nimetumia njia mbadala mpaka kinga yake imezidi kuongezeka kuongezeka mbali na hiz ARVs
  12. Rolence

    Kila nikiingiwa na hofu natokwa manii. Je, ni hali ya kawaida au ugonjwa?

    duh kumbe siko pekeyangu hata mimi ili wainitokea mala kadhaa kwenye mtian kipindi wakitaja dakika za mwisho kutupiga stop huku nimebanwa mkojo na hofu ya kumalizia ma swal sio sili bas wazungu uku chini walikua wana chomoka badala ya mkojo
  13. Rolence

    Maambukizi ya ukimwi

    hahahaha...
  14. Rolence

    Blaack Seed Oil a.k.a Habbat Soda

    mkuu nimeku PM tafadhar
Back
Top Bottom