VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Inawezekana umekuwa na maswali ambayo yamekuwa yakikutatiza juu ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na ugonjwa wa UKIMWI.

Leo nakupa nafasi ya kuuliza swali lolote juu ya mada hii. Twende kazi!
Nimejikuta najiuliza maswali kadhaa.... Sikupata majibu sahihi. Kutokana na tafiti mbalimbali zinazoendelea na pia uhalisia wa maamuzi dhabiti ya mtu mmoja mmoja kubadilisha tabia. Je, maambukizi ya HIV /AIDS yanapungua au yanaendelea kuongezeka??
 
Takwimu zinaonyesha kuwa idadi ya watu wanaombukizwa HIV imeshuka hata hivyo idadi hiyo imebaki hivyo toka mwaka 2016. Kutoka watu milioni 2.2 mwaka 2010 mpaka 1.8ml mwaka 2016
 
Kuna jamaa waliwahi kusema wamefanya indepth interview mkoa wa Njombe na kuja na kitu "nikifa kaka yangu ataoa mke wangu" sina hakika kama wameisha ipublish au vipi. Walikuwa wanaeleza hiyo hali ya maambukizi ya VVU kuwa juu mikoa hiyo. Nitafuatilia hilo andiko nitakuja nalo
Sawa mkuu ila ungepitia ule uzi tu sidhani kama utakosa cha kusema. By the way do you think interviews zitaweza kujibu swali langu?
 
Kuna sababu mbalimbali zinazochangia maambukizi ya VVU kuwa makubwa katika mikoa ya Njombe na Iringa. Sababu hizo ni kama ifuatavyo
1. Idadi kubwa ya wafanyakazi wa kazi za ndani Wasichana wengi wamekuwa wakitoka katika hiyo mikoa kuja kufanya kazi za ndani na hawa wamekuwa wahanga wa ngono kutoka kwa mabosi wao. Wengi wamekuwa wakiambukizwa HIV na kisha kurudi kwao ambako wamechangia kuambukiza watu wengine

2. Kuoa wajane. Hii ni mila ya kawaida miongoni mwa hawa watu ambao wamekuwa wakirithi wake wa ndugu zao.

3.Ukaribu na nchi za kusini husani Afrika Kusini. Ukiona serotype ya HIV inayoathiri watu wa mikoa hiyo ni tofauti na aina za maeneo mengine isipokuwa nchi za Afrika Kusini. Inaaminika serotype hiyo imetoka huko na kuathiri watu wa mikoa hiyo. Aina hiyo ya virusi iko katili kidogo kuliko virusi wengine. Subtype C iko Afrika Kusini na maeneo ya Afrika Mashariki ni A na D .

4. Pia mikoa hiyo kuwa katika maeneo ya mpakani, kuwa na centre na route nzuri za biashara kumechangia maambukizi kuwa juu. Nchi kama Uganda walifanikiwa kupunguza maambukizi kutokana na kuongeza matumizi ya kondom na kupunguza mapenzi miongoni mwa wasichana wadogo.
 
Kuna majibu yaliniridhisha kwenye ule uzi wangu ila hiyo point namba 3 inajibu vizuri swali langu kuliko majibu mengi. Tena inawezekana ikifanyika research zaidi tutagundua na aina nyingine zaidi ya ile ya South Africa. Of course nafahamu kuwa huko SA, Botswana Angola and so hali in mbaya kama Njombe. Asante sana kwa point namba 3. Ila kama mnaweza kuendesha research juu ya hili basi mfanye na ningefurahi sana kama ningeshirikishwa japo sipo sekta ya afya, ninaamini ningekuwa na mchango. All the best braza.
 
mbona wanaouliza maswali wote kama wanauliza mambo yasiyo wahusu au ndo hawa hawa wanaojificha majumbani,sijaona mtu akijitolea mfano yeye mwenyewe katika kuuliza,,tatizo la hawa watu unahisi ni nini?kila mtu ana comment ''eti nasikia..''
 
Ugonjwa siku zote ni siri ya mtu mwenyewe !
 
Back
Top Bottom