Nauza na kufuga Mapaka karibuni...

Nauza na kufuga Mapaka karibuni...

Ni kweli mkuu lakini mimi binafsi na hawa pets picha haziendi kabisa
Usjar mbwa na paka ni wanyama rafiki sana kwa binadam japo hawana uwezo wa kuongea nsi, mkuu paka ukimtrain kwa adabu hawezi kuiba mnyama pole na msafi kwa ujumla ila nimkali endapo ukimpandusha asira Mimi ninao huu ni mwaka wa nne nawafuga kwaajili ya panya waaribifu ndani
 
Kilo moja ya nyama ya paka mweusi ni bei gani?
 
Back
Top Bottom