Mshapata mtu makini wa kutunza mji wenu. Nyie malizieni nyumba vizuri December ikifika mnaenda mnamkuta mwenyeji wenu
Hayo mengine yanamuhusu kakako, si yako wewe wala nduguzako wengine.
Halafu huyo mama sio ndugu yenu
Yesu hakuwa mkristu, wala hakuanzisha kanisa. Alisali na Jews wenzake na akirudi ataenda huko "kama ilivyo desturi yake"
Haya makanisa yameanzishwa baadae na kutumia jina lake kupata "mileage"
Mleta post tupe link ya blog/social media yako tukasome busara zako na kuona picha zako ulizopiga kwenye ibada na sehemu zenye heshima. Tunataka tuige mfano wako.
Kama Huna ni sawa tu, hata mimi sina. Ila sasa ulikua unatafuta nini kwenye media za mtu wa hovyo maana yaelekea unamwelewa sana...
Uko sahihi sana uliyetoa post hii. Madaktari wengi wanajua hili ila kupunguza kula hakuna "maslahi". Kaa ukijua makampuni ya vyakula hasa venye wanga na sukari worldwide hawatàki ukweli ujulikane na wanatumia njia zone kuhakikisha tunaendelea kula.
Siku hizi pesa iko mbele kwenye kila kitu
Swali lako halina maana wala tija ila nitakufahamisha kitu. Uchagani unaweza kuta watu wawili wote wanaitwa kimaro lakini hawatoki ukoo mmoja wala hawatoki eneo moja. Sio mushi wote ni ndugu.
Kikubwa uwe umepatia kwenye kuchagua mwenza wako au hizo faida ulizozitaja utazisoma kwenye vitabu tu. Watu wengi walikua wana progress vizuri walipokua mabachela, baada ya kuoa dreams zao zikakoma siku ya harusi
Ukipatia kuoa mbingu unaianzia hapa hapa duniani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani leo ndio tunawaogopa wazungu! Kila siku tunakunywa na kula vitu vyao. Kama wanataka kutudhuru hawana haja ya kusubiri korona.
Umeandika kwa hasira ila ni kweli ulichoandika. Kwa watanzania wengi nafasi ya urais tunaichukulia poa sana. Tunafikiri Rais anatembea tembea tu kama mjumbe wa nyumba 10
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.