Mimi naunga mkono harakati zote za kupambana na madawa ya kulevya pamoja na maovu mengine yote yanayoirudisha nyuma taifa letu. Hapa nina maana kuwa madawa ya kulevya ni moja tu ya matatizo tuliyonayo kama taifa. Mfano wa tatizo lingine ni RUSHWA. Vita dhidi ya madawa ya kulevya ni ngumu sawa...
Biashara unayoweza kufanya kwa mtaji wa mil. 3 ni nyingi. Lakini inatagemea na wewe mwenyewe na mahali wateja wako tarajiwa. Kuna threads nyingi humu zilizoainisha fursa za kibiashara. Tafuta fursa unayoiwezea kisha tafuta ushauri zaidi kwa wazoefu wa hiyo biashara!
Kadi yako ya benki ni Credit Card au Debit Card? Benki karibu zote hapa Tz hazijaweza kuanzisha mfumo mzuri wa Credit card. Nakushauri uwasiliane na benki yako watakushauri njia bora ya kupokelea fedha yako. Kwa uzoefu wangu Westen Union ni njia nzuri na convenient!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.