Mafuta ya Sunflower yanahitajika

Mafuta ya Sunflower yanahitajika

Nkuba25

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2015
Posts
2,377
Reaction score
13,104
Habari yana bodi.

Kwa yeyote mwenye uwezo wa ku Supply Mafuta ya Sunflower kwa kiwango kikubwa naomba anione PM (Mafuta lazima yawe ya kitanzania).

Akija PM, anipatie details kama

Specifications za hayo mafuta
Supply ability
Price
Location take
Etc

Natanguliza shukrani
 
Naomba kujua unamaanisha nini kusema kiwango kikubwa. Kwa mfano; lita ngapi kwa siku au mwezi? N
 
Back
Top Bottom