Habari wanajamvi
kuna vijidola nilikua nataka nitumiwe but nimeshindwa namna ya kutumiwa kwa njia ya bank
kuna sehemu imeandikwa enter credit card number,nkaingiza namba za card yangu ya bank
sasa cjaelewa hapo
nisaidieni wanandugu
Mkuu japo sina uhakika na unachotaka kufanya ila naona kama kuna harufu ya utapeli. Hasa kama hizo taarifa unazijaza online. Matapeli wengi sana siku hizi, hakikisha uatoa taarifa zako kwa watu sahihi.
dah asante sana kwa ushauri mzuri,nilicheza lottoMkuu japo sina uhakika na unachotaka kufanya ila naona kama kuna harufu ya utapeli. Hasa kama hizo taarifa unazijaza online. Matapeli wengi sana siku hizi, hakikisha uatoa taarifa zako kwa watu sahihi.